Mnyonge mnyongeni ila Azam kwa hii bei na mifumo ya kikodi ya nchi yetu, gharama za uendeshaji hasa ukizingatia dollar ilivyo juu mimi naona malipo ya 910 per day sio mbaya.
Kwa wale wenye mabanda watapiga hela zaidi.
Ifahamike kuwa la Liga msimu huu ni Kali zaidi, Bundesliga huwa ni Kali kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.