kiganja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ongeza mafanikio: Faida tano muhimu za kuandika namba 24 kwenye kiganja cha mkono.

    ONGEZA MAFANIKIO: FAIDA TANO MUHIMU ZA KUANDIKA NAMBA 24 KWENYE KIGANJA CHA MKONO. SEHEMU YA PILI. 👉Katika sehemu iliyo pita niliweka msingi wa awali ili kuweza kuelewa ni nini hiyo namba 24. Ule ulikua kama mwanzo tu na kuna baadhi ya watu walikurupuka kwenda kuchora namba 24 kwenye viganja*...
  2. Translater ipi unatumia katika kiganja chako free katika kuvinjari... Online

    Wakuu mwenye chimbo la translater nzuri yenye Kiswahili kwenda lugha zingine Duniani free plizz anisogezee hapa kwangu... Natanguliza Shukran za dhati Kwa alie tayari asante sanaa
  3. Msaada: Ananisugua kiganja nyakati za usiku nikiwa nimelala

    Habari zenu ndugu wana JF, Kuna mapya nimeyaona baada ya kuingia kwa mara ya kwanza katika ndoa, nimeoa mwanamke kutoka huko Uyaoni Tunduru. Ajabu yangu ni kwamba mara kadhaa nikistuka usingizini nakuta mke anasugua kiganja changu cha mkono wa kulia na hata nikikunja kiganja kwa mfano wa ngumi...
  4. Kuwashwa Kwa kiganja cha mkono na kucheza Kwa jicho kunakupa taarifa itakayotokea

    KUWASHWA KWA KIGANJA CHA MKONO NA KUCHEZA KWA JICHO KUNAKUPA TAARIFA ITAKAYOTOKEA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nafsi yako inañamna mbalimbali za kuwasiliana na wewe(mwili wa nje) Kwa namna mbalimbali. Namna maarufu ni pamoja na ndoto za Usiku ukiwa umelala. Hutumia ndoto kuwasiliana na...
  5. Ikangaa, Kiganja na Nyambui Wajitosa kwenye Uchaguzi Mdogo RT

    Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) inatarajiwa kufanya uchaguzi Novemba 27 mwaka huu jijini Dodoma, nafasi zinazowaniwa ni Makamu wa Rais na Mjumbe wa Kamati Tendaji Kanda ya Pwani, ambazo waliokuwa wakizishikilia, John Bayo na Robert Kalyahe, walijiuzulu kutokana na sababu mbalimbali. Zoezi la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…