Huyu mtu ni hatari sana atakuingiza kwenye matatizo kibao na kuna muda hutojua kama ni yeye kwa sababu mkiwa naye anaongea hivi ila mkiachana tu anaongea mengine.
Mtu kigeugeu mtakubaliana jambo fulani kwa pamoja ila likigeuka likawa na matokeo tofauti na matarajio tayari anakugeuka unaonekana...
Maskini wanajifanya wanazo, Matajiri wanazuga wanajifanya hawana. Wenye kazi wanapost upuuzi wanajiita majobless, Majobless sasaaaa🤣🤣wanajifanya wako serious na maisha.
Wajinga wanajifanya wanaakili na wenye akili wametulia hawataki hata kujieleza,.
Mashetani sasaaa😂😂 wao ndo wanajifanya...
Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani Patrick Ryder hivi majuzi alisema imethibitishwa kuwa puto lililogunduliwa miezi minne iliyopita "halikukusanya taarifa za kijasusi wakati wa safari yake kwenye anga za Marekani." Mara tu taarifa hii kutolewa, vyombo vya habari vya Marekani vilijitokeza...
Prof. Shivji haaminiki tena huwa anatumika na ni kigeugeu hivyo apuuzwe ktk hoja zake anatoa kupinga ubia wa serikali ya Tanzania na DP World kuendesha bandari..
Kama mnakumbuka prof. Shivji ameandika machapisho mengi sana kuhusiana na utata na udhaifu wa muundo wa muungano wetu wa serikali...
Habari za muda huu.
Msimu wa 2019/2020 ,Simba walimsajili Onyango na Yanga wakamsajili Mwamnyeto.
Mashabiki wa Simba walidai kuwa Mwamnyeto alikuwa dhaifu na alifichiwa madhaifu na AME , viongozi wakapambana haraka Ame akasajiliwa ili kupigia mstari hoja zao.
Yanga wakadai Onyango ni mzee...
Wana JF
Kama ulikuwa hujui watu waliokuwa wanaaminika kwa misimamo dhabiti ni watu wa kigoma, hawa jamaa huko nyuma walikuwa vyuma sana kupinga uthalimu wowote ule uliokuwa unafanywa na serikali, walikuwa wakali wa hoja, waliaminika sana Kupita maelezo, ugonjwa wa usaliti ulioanzishwa na Dr...
Kinachonishangaza ni kuona ndugu yangu huyu ambaye naamini ni msomi wa sheria leo anaamua kugeuka makusudi mbele ya umma wa watanzania bila hata kuogopa na kuzingatia maadili ya kazi yake.
Nataka niulize swali, hivi si ndio huyu huyu Simbachawene alikuwepo wakati wa kutunga katiba mpya awamu ya...
Wonders shall never end ndio ninachoweza kusema, Wana CCM waliuaminisha uma wa watanzania kuwa nyungu, malimao na tangawizi vinatibu Corona.
Kheri Gwajima ameamua kusimamia msimamo ule waliokubaliana enzi za John Pombe Magufuli kuwa chanjo hazifai.
Wanafiki na wachumia tumbo wanatumia kauli ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.