MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: YALIYOMFIKA PROF. KIGHOMA ALI MALIMA HAYAJAMKUTA KIONGOZI YEYOTE KATIKA HISTORIA YA TANZANIA
Ally Sykes alikuwa na kawaida kuwa akiwa na mgeni yeyote ndani ya ofisi yake ataagiza niingizwe.
Hivi ndivyo nilivyokuja kuwajua kwa karibu watu wengi maarufu...