Ukiondoa story za vijiweni na uzushi mwingi kumhusu alhaj Kighoma Malima RIP binafsi nilimkubali sana yule Prof kwa kunena na kutenda Kwake.
Wakati akiwa Waziri wa Fedha nilikuwa nafuatilia jambo langu fulani ofisini kwa Mkurugenzi wa Utumishi Mr Mdidi ghafla waziri akaingia na kuongea kidogo...