kigogo busisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kididimo

    KERO Vivuko vya Kigongo-Busisi havifanyi kazi leo. Daraja lifunguliwe kwa dharura kuruhusu magari

    Leo ni balaa hapa Kivukoni. Foleni na usumbufu mkubwa sana kwa wasafiri na wasafirishaji. Hakuna kiongozi yeyote aliyefika kutatua hili tatizo la vivuko kukwama. Nashauri, kama Daraja hili la Magufuli limefikia 96% kukamilika, magari yaruhusiwe kupita kwa dharura. Nchi yetu imejaliwa usheheni...
Back
Top Bottom