Leo ni balaa hapa Kivukoni. Foleni na usumbufu mkubwa sana kwa wasafiri na wasafirishaji. Hakuna kiongozi yeyote aliyefika kutatua hili tatizo la vivuko kukwama.
Nashauri, kama Daraja hili la Magufuli limefikia 96% kukamilika, magari yaruhusiwe kupita kwa dharura.
Nchi yetu imejaliwa usheheni...