Mnamo Februari 26, Mwaka huu Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kupitia Mwenyekiti wake Jaji wa Rufani, Jacobs Mwambegele ilitangaza kuanza kwa mchakato wa kuchunguza, kugawa au kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi ambapo Tume hiyo imeanza kupokea mapendekezo hayo kuanzia Februari 27, 2025 hadi...
Mwaka Jana niliweka mada hapa kwamba Zimesalia km 51 za vumbi Ili Barabara yote kutoka Dar Hadi Kigoma iwe Lami.
Hatimaye km za mwisho kutoka Ilunde-Malagarasi zimekamilika na Sasa Kigoma sio mwisho wa reli tena.Serikali ya Rais Samia imewakomboa watu wa Kigoma na Tabora. Soma hapa Bado Km 51...
Wazee wa ACT Wazalendo Kigoma Waufuatilia Uchaguzi Kwa Namna Yao, ‘Dua’.
Ikiwa zimebaki siku nane kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mnamo Novemba 27,2024, wazee wa ACT Wazalendo mkoani Kigoma wamefanya 'dua maalum' kwa ajili ya yeyote atakayehusika na kujaribu kuharibu...
Habari wana Jamvi,
Mimi nimeajiriwa Serikalini hivi karibuni na sijamaliza miezi sita kazini. Nimeajiriwa mkoani Kigoma wilaya ya Kigoma Mjini.
Nimekuja hapa kuomba ushauri niwekeze mkoa gani ambao nitaweza kupata unafuu wa kusimamia miradi yangu maana nipo interested na uwekezaji katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.