Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema Daraja la JP MAGUFULI (Kigongo-Busisi), linalounganisha mkoa wa Mwanza na Geita, linatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Februari mwaka huu.Akikagua Ujenzi wa Daraja hilo leo tarehe 24 Januari 2025 mkoani Mwanza, Waziri Ulega amemshukuru na kumpongeza...
Katika juhudi za kuimarisha miundombinu na kukuza uchumi wa Taifa, ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) umeendelea kuwa kielelezo cha mafanikio makubwa chini ya uongozi thabiti wa Serikali ya Awamu ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye Kilometa 3.2 pamoja na Barabara unganishi ya Kilometa 1.66, linalojengwa kuunganisha Barabara Kuu ya Usagara - Sengerema - Geita katika Ziwa Victoria umefika asilimia 85 na unatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Desemba, 2024.
Taarifa hiyo...
Salaam Wakuu
Tarehe 14 Juni 2023, Rais Samia anatarajiwa kutembelea na kukagua Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi ambalo ujenzi wake umefikia 75%
Ujenzi wa Daraja TSh 602.19 bilioni. Daraja la Kigongo Busisi ambalo linajengwa katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza, lina urefu wa kilometa 3.2.
Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Rogatus Mativila
Viongozi mbalimbali wametembelea mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi ambalo pia linajulikana kama Daraja la JP Magufuli, leo Jumapili Aprili 23, 2023.
Daraja hilo linapatikana Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza, bado lipo kwenye hatua...
Waziri Makame Mbarawa amekagua maendeleo ya Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi (Daraja la JPM) lenye urefu wa Mita 3000 na Barabara Unganishi (KM 1.66) ambapo Utekelezaji wa Mradi huo kwa Sasa umefikia asilimia 63. Mradi huo ulianza kutekelezwa mwaka 2019.
Machi 2021 Wakati Rais Samia Suluhu...
Moja kwa moja kwenye mada..
CAG abaini wizi na ufisadi kwenye mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi..
Wazalendo uchwara waje fasta maana 👇
===
Miaka miwili kabla ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi haujakamilika, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amegundua...
Gazeti la Nipashe la leo limeripoti kuwa ujenzi wa daraja refu zaidi Afrika Mashariki la Magufuli linalojengwa kukatiza ziwa Victoria kuunganisha kati ya Kigongo na Busisi unahujumiwa.
Kutokana na hujuma hizo Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetaka uchunguzi wa haraka ufanyike na watakaobainika...
Nimepita maeneo haya na kufanya mahojiano na wakazi kadhaa wa hapa, wanasema wangependa jina asilia la maeneo hayo ndio liwe jina la daraja ili kulinda uasili.
Wanapendekeza daraja liitwe KIGONGO BUSISI
Vifaa vyenye thamani ya bilioni 16 vya kujenga daraja la Busisi vimeibwa eneo la Kigongo Busisi Mwanza
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu 8 kwa tuhuma za wizi wa vifaa vya ujenzi wa daraja la JPM linalojengwa kwa fedha za serikali, zaidi ya bilioni 600 katika eneo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.