kigongo-busisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Daraja la jp magufuli (kigongo-busisi ) lafikia asilimia 96.3, kukamilika februari 2025

    Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema Daraja la JP MAGUFULI (Kigongo-Busisi), linalounganisha mkoa wa Mwanza na Geita, linatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Februari mwaka huu.Akikagua Ujenzi wa Daraja hilo leo tarehe 24 Januari 2025 mkoani Mwanza, Waziri Ulega amemshukuru na kumpongeza...
  2. Mwanza: Ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) umefikia 96.3%

    Katika juhudi za kuimarisha miundombinu na kukuza uchumi wa Taifa, ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) umeendelea kuwa kielelezo cha mafanikio makubwa chini ya uongozi thabiti wa Serikali ya Awamu ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  3. Injinia: Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi umefikia 88.61%, litaanza kutumia Desemba 30, 2024

    Daraja la J.P. Magufuli (Kigongo – Busisi) lenye urefu wa Kilomita 3.0 na barabara unganishi Kilomita 1.66 linatarajiwa kuanza kutumika Tarehe 30 Disemba 2024 likiunganisha Barabara Kuu ya Usagara – Sengerema – Geita zenye urefu wa Kilomita 90. Daraja hilo linajengwa Urefu wa kilometa 3.0 Upana...
  4. Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo-Busisi) wafikia 85%

    Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye Kilometa 3.2 pamoja na Barabara unganishi ya Kilometa 1.66, linalojengwa kuunganisha Barabara Kuu ya Usagara - Sengerema - Geita katika Ziwa Victoria umefika asilimia 85 na unatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Desemba, 2024. Taarifa hiyo...
  5. Mwanza: Rais Samia kutembelea Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi

    Salaam Wakuu Tarehe 14 Juni 2023, Rais Samia anatarajiwa kutembelea na kukagua Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi ambalo ujenzi wake umefikia 75% Ujenzi wa Daraja TSh 602.19 bilioni. Daraja la Kigongo Busisi ambalo linajengwa katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza, lina urefu wa kilometa 3.2.
  6. Ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi (JP Magufuli) Sengerema wafikia 72%, viongozi watembelea kukagua mradi

    Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Rogatus Mativila Viongozi mbalimbali wametembelea mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi ambalo pia linajulikana kama Daraja la JP Magufuli, leo Jumapili Aprili 23, 2023. Daraja hilo linapatikana Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza, bado lipo kwenye hatua...
  7. K

    Hali ilivyo utekelezaji ujenzi wa Daraja la Kigongo - Busisi

    Waziri Makame Mbarawa amekagua maendeleo ya Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi (Daraja la JPM) lenye urefu wa Mita 3000 na Barabara Unganishi (KM 1.66) ambapo Utekelezaji wa Mradi huo kwa Sasa umefikia asilimia 63. Mradi huo ulianza kutekelezwa mwaka 2019. Machi 2021 Wakati Rais Samia Suluhu...
  8. CAG: Kuna wizi wa Kalamu Ujenzi wa Daraja la Kigongo - Busisi

    Moja kwa moja kwenye mada.. CAG abaini wizi na ufisadi kwenye mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi.. Wazalendo uchwara waje fasta maana πŸ‘‡ === Miaka miwili kabla ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi haujakamilika, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amegundua...
  9. Ujenzi wa Daraja la Magufuli wahujumiwa, CCM wacharuka

    Gazeti la Nipashe la leo limeripoti kuwa ujenzi wa daraja refu zaidi Afrika Mashariki la Magufuli linalojengwa kukatiza ziwa Victoria kuunganisha kati ya Kigongo na Busisi unahujumiwa. Kutokana na hujuma hizo Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetaka uchunguzi wa haraka ufanyike na watakaobainika...
  10. Utafiti niliofanya hapa kanda ya ziwa unaonyesha wakati wengi wa hapa hawataki daraja la Kigongo-Busisi liitwe daraja la Magufuli,wataka majina asilia

    Nimepita maeneo haya na kufanya mahojiano na wakazi kadhaa wa hapa, wanasema wangependa jina asilia la maeneo hayo ndio liwe jina la daraja ili kulinda uasili. Wanapendekeza daraja liitwe KIGONGO BUSISI
  11. Uhujumu Miundombinu: Vifaa vya ujenzi daraja la Busisi vyaibwa, watu 8 mbaroni

    Vifaa vyenye thamani ya bilioni 16 vya kujenga daraja la Busisi vimeibwa eneo la Kigongo Busisi Mwanza Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu 8 kwa tuhuma za wizi wa vifaa vya ujenzi wa daraja la JPM linalojengwa kwa fedha za serikali, zaidi ya bilioni 600 katika eneo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…