CCM HUYU MTU HAFAI KABLA HATA HAJAJADILIWA KWA FOMU YAKE YA KUTAKA KUWA MBUNGE...
RUSHWA kwenye chaguzi ni mbaya sana! Hatuwezi kukalia kimya matendo machafu sana anayoyafanya huyu mtu anajiita Fred Vunjabei huko Iringa.
Anatoa wapi hela ya kulipa madiwani 1,000,000/= TZS ,wenyeviti wa mitaa...
Kigugumizi ni tatizo la kushindwa kuongea vizur yaan mtu anakuwa anashindwa kujieleza au kutoa matamshi mpaka ajivute sana,ni changamoto ambayo inawakuta baadhi ya ndugu zetu
Sasa unaweza kuishinda hali hii kwa kufanya mazoezi ya kuongea zaidi,jitahidi kuongea kadri iwezekanavyo na baada ya mda...
Wanasimba Hongereni
Moja kwa moja kwenye mada, Kigugumizi ni nini ? Huwa kinatokana na nini ? Je kinarithishwa ? Nini hatua za kufanya ili kukikabili ?
Nawasilisha.
NB; Nashukuru Mungu siku hizi ukiwa na mada kama hizi wale wanaojiita wajuaji huwa wanapita tu, sababu tayari tumeshaweka...
Hilo tukio lina zaidi ya wiki sasa ila sijasikia polisi ikitoa taarifa za kuwafikisha mahakamani watuhumiwa hao zaidi nimesikia mtu mmoja aliyeshikiliwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uzushi juu ya binti aliyefanyiwa ukatili huo.
hii kitu haijengi taswira nzuri kwa vyombo vyetu vya usalama na...
Mtoto wangu ni mdogo ana miaka miwili na nusu.
Ndiyo alikuwa ameanza kuongea ila alikuwa anaongea kwa kutoa neno vizuri kabisa, ila sasa kama wiki hivi naona amekuwa na kigugumizi kwenye kuongea kwake.
Sasa nilikuwa naulizia kama kuna msaada anaweza kupata.
Gamondi ameliambia Mwanaspoti kuwa Yanga iko tayari kwa mchezo dhidi ya Mamelodi na watawapa sapraizi nyingine baada ya baadhi ya mastaa wake afya zao kutengamaa haswa Aucho na Pacome.
Gamondi alithibitisha kikosi chake kitakuwa na mabadiliko baadhi baada ya viungo wake Aucho na Pacome kuanza...
Yeah ni pasi na shaka , nyama utamu inatolewa inaliwa then inarudishwa. After sometime baada ya mzagamuoooo............. Viji notes vya baadae ni kama shukrani ya kisela tuuu. And not udangaji ******
Bahhhhhh log off
Au labda alikuwa nacho (anacho) ila Yanga SC ikifanya vyema hakimpati lakini ikishinda kama ilivyoshinda leo huko Mbarali Highlands Estates kwa Kumfunga Ihefu FC ndiyo huwa kinampata na kusikika?
Kudadadeki leo Mitaani ni Kimya.
Hilo ndilo swali kubwa ninalojiuliza, ni kwanini hao watendaji wetu wa Serikali, ambao wanafahamika hata Kwa majina, waliotajwa kwenye ripoti ya CAG, kuwa wamefisadi mabilioni ya shilingi za Umma, ni kwanini Rais Samia Suluhu Hassan, hawatengui kwenye nafasi zao, wakati ni yeye mwenyewe ndiye...
Nisiongee mengi video ya interview yake pale star tv hio apo chini.
===
Lema aliulizwa na Aloyce Nyanda kuhusu ushoga katika kipindi cha StarTV amesema yeye anaamini katika biblia na kama dunia nzima itaamini katika biblia basi suala la ushoga halitakuwa tatizo.
Hata hivyo amesema...
Team ya Azam kwa sasa imekuwa chini ya Uangalizi wa mtoto wa Bakhresa anayeitwa Yusuf. Huyu kwa kipindi kirefu alikuwa nje ya nchi. aliirudi ili aje aisimamie Azam Sports Club baada ya kuwa inasua sua.
kwa muda mrefu Azam imekuwa chini ya walimu Wareno hawa wamekuwa wakisaka vipaji na kutoa...
Ni tatizo la matamshi linalomfanya mtu asiwe na uwezo wa kutengeneza mpangilio wa moja kwa moja wa maneno na sauti anazotoa.
Watu wenye kigugumizi hufahamu maneno wanayotaka kutamka lakini hupatwa na ugumu katika kutengeneza mtitiriko wa matamshi hayo.
Changamoto hii inaweza kuambatana na...
Zipo tuhuma nzito Sana zinazomkabili aliyekuwa DPP, Biswalo Mganga, kuhusiana na kile kinachoitwa "plea bargaining" mtindo uliobuniwa wakati wa utawala wa awamu ya 5, ambapo watuhumiwa "waliobambikiwa" makosa, wakati wa utawala wa awamu ya 5, "walilazinishwa" kukiri makosa na hivyo kukamuliwa...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la kitu kipya humu kinachoitwa "Jicho Ona".
Jicho Ona ni vile vitu ambavyo kwa jicho la kawaida vinaonekana kama ni vitu vizuri jambo jema, jambo zuri, jambo la kawaida, ila jicho ona linaona kuliko jicho la kawaida, linaona visivyo onekana na jicho la kawaida, jicho...
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida bwana Johannes aliipigiwa cm na rafiki yake wa kike aje kujumuika katika sherehe yake.
Lakini alipofika alikuta ni sherehe ya wadada watatu tuu ambapo yeye ndiye alikuwa mwanaume pekee, watatu hao walimlazimisha kuanza kula vyakula ambavyo vimepambwa katika...
Ni taarifa rasmi iliyotolewa na CHADEMA kuwa Halima Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa CHADEMA kwa makosa mbalimbali waliyoyatenda dhidi ya chama chao. Walifukuzwa na Kamati Kuu ya chama hicho.
Ikaripotiwa na hata kusemwa na mmoja wa waliofukuzwa uanachama Bungeni Dodoma (Jesca Kishoa)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.