kigugumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Napata kigugumizi mtu anahonga pesa ili awe mbunge

    CCM HUYU MTU HAFAI KABLA HATA HAJAJADILIWA KWA FOMU YAKE YA KUTAKA KUWA MBUNGE... RUSHWA kwenye chaguzi ni mbaya sana! Hatuwezi kukalia kimya matendo machafu sana anayoyafanya huyu mtu anajiita Fred Vunjabei huko Iringa. Anatoa wapi hela ya kulipa madiwani 1,000,000/= TZS ,wenyeviti wa mitaa...
  2. Kigugumizi cha nini kwenye Uraia Pacha? Shuhudia unavyowakwamisha Watanzania kuwekeza nyumbani. Miradi, mijengo ya maana ingeota kama uyoga

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo 20/11/2024. Paskali
  3. Mbinu hii inaweza kutibu kigugumizi au stammering

    Kigugumizi ni tatizo la kushindwa kuongea vizur yaan mtu anakuwa anashindwa kujieleza au kutoa matamshi mpaka ajivute sana,ni changamoto ambayo inawakuta baadhi ya ndugu zetu Sasa unaweza kuishinda hali hii kwa kufanya mazoezi ya kuongea zaidi,jitahidi kuongea kadri iwezekanavyo na baada ya mda...
  4. Ni dawa ama njia zipi zinaweza kupunguza kigugumizi kwa mtu mzima?

    Moja kwa moja kwenye mada, Naomba kuuliza Ni dawa gani ama njia zipi anaweza kutumia mtu (miaka 20's) mwenye Kigugumizi kikali.
  5. KIGUGUMIZI, Je asili yake ni nini ? Kinatibika ?

    Wanasimba Hongereni Moja kwa moja kwenye mada, Kigugumizi ni nini ? Huwa kinatokana na nini ? Je kinarithishwa ? Nini hatua za kufanya ili kukikabili ? Nawasilisha. NB; Nashukuru Mungu siku hizi ukiwa na mada kama hizi wale wanaojiita wajuaji huwa wanapita tu, sababu tayari tumeshaweka...
  6. Kwanini polisi imekuwa na kigugumizi kuhusu hili swala la huyu binti aliyefanyiwa ukatili na wanajeshi wale.

    Hilo tukio lina zaidi ya wiki sasa ila sijasikia polisi ikitoa taarifa za kuwafikisha mahakamani watuhumiwa hao zaidi nimesikia mtu mmoja aliyeshikiliwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uzushi juu ya binti aliyefanyiwa ukatili huo. hii kitu haijengi taswira nzuri kwa vyombo vyetu vya usalama na...
  7. Mwanangu amepata kigugumizi cha ghafla, msaada kama naweza kupata tiba

    Mtoto wangu ni mdogo ana miaka miwili na nusu. Ndiyo alikuwa ameanza kuongea ila alikuwa anaongea kwa kutoa neno vizuri kabisa, ila sasa kama wiki hivi naona amekuwa na kigugumizi kwenye kuongea kwake. Sasa nilikuwa naulizia kama kuna msaada anaweza kupata.
  8. Gamondi: Kuelekea Mamelod, fitness ya Aucho 80%, Pacome anafuatia, Yao kigugumizi.

    Gamondi ameliambia Mwanaspoti kuwa Yanga iko tayari kwa mchezo dhidi ya Mamelodi na watawapa sapraizi nyingine baada ya baadhi ya mastaa wake afya zao kutengamaa haswa Aucho na Pacome. Gamondi alithibitisha kikosi chake kitakuwa na mabadiliko baadhi baada ya viungo wake Aucho na Pacome kuanza...
  9. Shukrani sana mabinti wa dsm....mnatujali pasi na shaka , mbususu mnatoa hata bila kigugumizi

    Yeah ni pasi na shaka , nyama utamu inatolewa inaliwa then inarudishwa. After sometime baada ya mzagamuoooo............. Viji notes vya baadae ni kama shukrani ya kisela tuuu. And not udangaji ****** Bahhhhhh log off
  10. Sijawahi kumsikia Kocha Gamondi akiwa na 'Kigugumizi', ila leo kila akihojiwa kinasikika Kulikoni?

    Au labda alikuwa nacho (anacho) ila Yanga SC ikifanya vyema hakimpati lakini ikishinda kama ilivyoshinda leo huko Mbarali Highlands Estates kwa Kumfunga Ihefu FC ndiyo huwa kinampata na kusikika? Kudadadeki leo Mitaani ni Kimya.
  11. Kwa nini familia ya Glazer wana kigugumizi kuiuza Man Utd?

    Walisema wanataka kuiuza Klab, lakini kila akitokea mnunuzi wanaanza kumzungusha, tatizo nini??
  12. Waliotuibia mabilioni ya shilingi za pesa za Umma, kama wamegona kutupisha, ni kwanini Rais aliyewateua, anashikwa na "kigugumizi" kuwafukuza kazi?

    Hilo ndilo swali kubwa ninalojiuliza, ni kwanini hao watendaji wetu wa Serikali, ambao wanafahamika hata Kwa majina, waliotajwa kwenye ripoti ya CAG, kuwa wamefisadi mabilioni ya shilingi za Umma, ni kwanini Rais Samia Suluhu Hassan, hawatengui kwenye nafasi zao, wakati ni yeye mwenyewe ndiye...
  13. Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

    Nisiongee mengi video ya interview yake pale star tv hio apo chini. === Lema aliulizwa na Aloyce Nyanda kuhusu ushoga katika kipindi cha StarTV amesema yeye anaamini katika biblia na kama dunia nzima itaamini katika biblia basi suala la ushoga halitakuwa tatizo. Hata hivyo amesema...
  14. Ukweli kuhusiana na Suala la Feisal Toto na Kigugumizi cha TFF. Chama na Dickson Job wapo kwenye Rada

    Team ya Azam kwa sasa imekuwa chini ya Uangalizi wa mtoto wa Bakhresa anayeitwa Yusuf. Huyu kwa kipindi kirefu alikuwa nje ya nchi. aliirudi ili aje aisimamie Azam Sports Club baada ya kuwa inasua sua. kwa muda mrefu Azam imekuwa chini ya walimu Wareno hawa wamekuwa wakisaka vipaji na kutoa...
  15. Kigugumizi

    Ni tatizo la matamshi linalomfanya mtu asiwe na uwezo wa kutengeneza mpangilio wa moja kwa moja wa maneno na sauti anazotoa. Watu wenye kigugumizi hufahamu maneno wanayotaka kutamka lakini hupatwa na ugumu katika kutengeneza mtitiriko wa matamshi hayo. Changamoto hii inaweza kuambatana na...
  16. Ni kwanini Rais Samia anashikwa na "kigugumizi" kuunda Tume ya Majaji kumchunguza Biswalo Mganga, aliyekuwa DPP?

    Zipo tuhuma nzito Sana zinazomkabili aliyekuwa DPP, Biswalo Mganga, kuhusiana na kile kinachoitwa "plea bargaining" mtindo uliobuniwa wakati wa utawala wa awamu ya 5, ambapo watuhumiwa "waliobambikiwa" makosa, wakati wa utawala wa awamu ya 5, "walilazinishwa" kukiri makosa na hivyo kukamuliwa...
  17. M

    Mpina ataka kumuumbua Waziri Mwigulu bungeni, apatwa na kigugumizi, Spika ambana "mi sielewi"

  18. Lile "jicho ona", limeona si vema Jeshi la Polisi kuwa sponsored! Sponsors wakifanya makosa, polisi atapat kigugumizi! Vipi sisi media na sponsors?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kitu kipya humu kinachoitwa "Jicho Ona". Jicho Ona ni vile vitu ambavyo kwa jicho la kawaida vinaonekana kama ni vitu vizuri jambo jema, jambo zuri, jambo la kawaida, ila jicho ona linaona kuliko jicho la kawaida, linaona visivyo onekana na jicho la kawaida, jicho...
  19. Penzi kigugumizi lachafua hali ya hewa! Anusurika kifo

    Katika hali isiyo kuwa ya kawaida bwana Johannes aliipigiwa cm na rafiki yake wa kike aje kujumuika katika sherehe yake. Lakini alipofika alikuta ni sherehe ya wadada watatu tuu ambapo yeye ndiye alikuwa mwanaume pekee, watatu hao walimlazimisha kuanza kula vyakula ambavyo vimepambwa katika...
  20. Kigugumizi cha CHADEMA juu ya akina Halima Mdee kinatokana na nini? Sikilizeni Rufaa na mtoe uamuzi wa mwisho

    Ni taarifa rasmi iliyotolewa na CHADEMA kuwa Halima Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa CHADEMA kwa makosa mbalimbali waliyoyatenda dhidi ya chama chao. Walifukuzwa na Kamati Kuu ya chama hicho. Ikaripotiwa na hata kusemwa na mmoja wa waliofukuzwa uanachama Bungeni Dodoma (Jesca Kishoa)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…