Patrick Aussems na Denis Kitambi walifukuzwa baada ya kupanga kikosi kigumu dhidi ya Yanga kinyume na maelekezo ya viongozi wa timu.
Soka la Tanzania ni takataka kabisa. Kampuni za betting angalieni kwa akili mechi za Yanga na mashoga zake, mtafilisiwa
Habari za wakati huu,
Waswahili husema penye wengi pana mengi.
Naombeni mnisaidie katika hili ndugu zangu, Hapa nilipo sina kazi wala hata mtaji wa kufanya chochote sina, napambana lakini naona hali bado si nzuri, kinacho nipa mawazo ni kwamba nina mdogo wangu wa kidato cha nne bado hajaripoti...
Kwanza niwape Hongera CHADEMA kwa kuendesha Uchaguzi wa Kiwango cha juu, na nimpongeze Lissu kwa Ushindi.
Pili niombe Watanzania wote tuungane kuiombea CHADEMA kwa kipindi kigumu itakachopitia cha kuunganisha Chama chao,hekima ya hali ya juu sana inahitajika wakati huu.
Ukiangalia Matokeo...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda, ameweka wazi kuwa kipindi alichopitia kimekuwa kigumu sana maishani mwake, lakini imani yake kwa Mungu imemsaidia kuvuka changamoto hizo.
Akizungumza jana kwenye misa ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan na kumkumbuka baba mzazi wa...
Habari wanajukwaa
Lengo la uzi ni kutaka kila mwanajukwaa kufunguka kile kigumu anachopitia ili apate Suluhusho iwe
Ugonjwa,mahusiano,changamoto ya kiuchumi,Elimu na jambo lolote ambalo unahis ni gumu kwako.
Funguka wewe usiogope Mungu anaweza kuwa pamoja na wewe Ukapata msaada na kwa yoyote...
Hivi hawa dada zetu mtaani ni nani kawaambia kuwa mwanaume akiwatongoza muda huohuo waanze kuomba pesa?
Hivi mtu nimeonesha nia tu ya kukutaka hata papuchi nimeona sio kipaumbele kwanza...sababu nataka tujenge mahusiano kwanza mtu anashindwa kujikaza kusubiri hata wiki iishe wakuu.
Yani kwa...
Ugweee..nimekosa salam ya haraka kuwasabahi ndg zangu.
Hawa Z Generation nchini Kenya ni muenendo na miendelezo ya tabia ya wananchi waliosomeshwa na serikali zao za nyuma...hapa namzungumzia Moi na wengine waliofanya vema.
Kinachoendelea nchini Kenya ni sahihi na haki kabisa. Hapa Tanzania...
“Nina Watoto nane, shughuli yangu kubwa ni Kilimo cha Mwani ambayo ni miongoni mwa mazao ninayoyategemea kunipatia mkate wa kila siku. Nafanyia shughuli zangu katika Kijiji cha Shamiani Kangani, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Hapa ndipo pia ninapoishi.
Nimekuwa na ndoto ya kuwa mkulima...
Habarini za wakati huu memberz wenzangu.
Nimekuja humu kuomba ushauri/ tiba ya ugonjwa unaonisumbua.
Ni takriban mwezi wa 6 huu nagusa mfano wa kipele/kinundu kirefu kinachouma ndani ya uke (nikilala chali nakishika kabisa).
Awali nilidhani huenda ni mchubuko tu nikajua nitapona hvo sikutilia...
Hili ndio swali ninalijiuliza huku nikizingatia uwekezaji wa gharama kubwa unaofanywa na vilabu plus wachezaji kuvuja jasho halafu kunakuwa na sheria/kanuni inayompa mtu mmoja anaeitwa mwamuzi kuwa na maamuzi ya mwisho na kibaya zaidi hayabadiliki hata ikithibika alitoa maamuzi yasiyo sahihi...
Hii bhana huwa inasaidia sana baada ya kula au kushiba sanaa ukitumia sigara basi muda huo huo utaanza kuhitaji kutumia maliato kwa haraka sanaa. Nani mwingine amegundua hili
1. Sita angalia tena movie Wala kusikiliza Muzik wa aina yoyote ile.
2. Social media zote Twitter, Facebook, Instagram na nyingine zote tazi mute kwa mwaka mzima isipokuwa jamiiforum Pekee.
3. Video za vichekesho na short video zote na Zi mute whole year
4. Status za watu Whatsapp zote na mute...
Kama unahisi something wrong on ur life circulation, i recommend to you this book, 'The Power of Your Subconscious Mind'. Kama unahisi Maisha yako yamepoteza maana Soma hiki Kitabu.
Kila kitu unakitafuta kipo ndani yako ni swala la kuweka juhudi katika kulielekea jambo na ku-reprogram your...
Ni single mother mmoja ambaye tulikuwa tunawasiliana naye kwa muda kidogo. Tulishaingiza issues za kusex siku nyingi tuu sema kwenye kukutana ni kama kuna kakitu kanatuzuia.
Siku kadhaa zilizopita siku ikatimia tukaonana na kufanya yetu ya kikubwa. Tulikuwa tumejiandaa kabisa kwamba tutacheki...
Mchezaji mwenye magoli mengi tangu kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania, mchezaji mwenye hamasa na utulivu, mchezaji mwenye kipaji cha uongozi Papa's John Bocco ndiye anayeweza kuwatoa Simba kwa wakati huu Mgumu wanaopitia wamuamini kila mchezo mpaka hapo Mambo yatakapokaa sawa.
Assalam Aleykum ndugu zangu waislam na wakristo.
Kwa asili mimi ni mtu niliye huru zaidi kutoa hisia zangu kwa maandishi kuliko niwapo ana kwa ana na watu.
Leo niko na hisia za furaha sana na ndio maana nimepata msukumo wa kuandika.
Lengo la kuandika sio kuwaambia nina furaha maana kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.