kigwangwala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kigwangwala: Mbowe asikubali kushindwa na Lissu atakuwa fala kumuachia chama

    Huu ndio ushauri wa Kigwangwala kwa Mbowe.
  2. Kigwangwala: Kama kudaiana, Simba tunamdai MO hela nyingi sana

    Anaandika Mhe. Hamisi Kigwangwala “Kama ni kudaiana tu, tena bila mikataba, basi na sisi wana @SimbaSCTanzania tunamdai mwekezaji pesa nyingi sana!” “Tulimtaka aweke bilioni 20 kwenye account yetu ili tununue bonds, kumbe hakuweka! Kama angeweka tungenunua bonds za miaka 25, at a coupon rate...
  3. Hivi ndivyo alivyojibiwa Hamis Kigwangwala mtandaoni

    Jionee mwenyewe halafu toa maoni yako
  4. Mabadiliko: Hamis Kigwangwala aanza kuzungumza lugha ya Wananchi

    Katika hali ya kushangaza, Waziri wa zamani wa Utalii Hamis Kigwangwala amejitokeza hadharani kutaka jamii iwapime viongozi kwa utendaji badala ya Uchawa . Tunampongeza sana Mh huyu kwa kuliona jambo hili . Bali wengi tunajiuliza , maono haya ya Kigwangwala yanatoka moyoni kweli au ni kwa vile...
  5. M

    Anayosema Kigwangalla kuhusu uaminifu wa Watanzania kuna tatizo?

    Leo asb Hamisi Kigwangalla ameliamsha tena huko Instagram suala la uaminifu wa watanzania. Amehadithia alichofanyiwa na kijana aliyemuamini. Huko nyuma amewahi kuuliza WHAT IS TANZANIA'S COMPETITIVE ADVANTAGE -Akimaanisha nini ambacho tunaweza kusema hichi kinatutambulisha kitaifa. Juzi kati...
  6. N

    Kigwangalla na chozi la mamba, kama ana uchungu wa kweli vile

    Ukiwakuta hawa wamevaa ma scarfs ya bendera ya taifa na kushikilia ilani ya CCM kwenye makwapa yao unaweza kusema hii nchi imebarikiwa sana. Wengine walikwapua mabilioni ya wizara ya utalii na CAG akathibitisha lakini kimyaaaaa bado wanajifanya wazalendo, wakatumia hadi ndege za Tanapa kula...
  7. N

    Kigwangala awatolea uvivu walalamikia tozo wanaoonea wivu Mawaziri

    Ila huyu jamaa ni kichwa sana, mama akimrudisha kwenye uwaziri halafu akaunganika na makamba, Nape, mwigulu itakuwa combination ya hatari sana, Tanzania tuna bahati sana kwa kweli kuna nchi zinatamani hawa vijana waende kuwatawala ila sisi kila siku tunawalaumu tu
  8. N

    Simba yaufyata kwa Kigwangwala, wampigia simu, kutia nguvu

    Hayawi hayawi yamekuwa baada ya Mwamedi kuikacha team na hali kuwa mbaya huku vi akiba vikiisha kabisa,Said bagalile a.k.a Hamis Kigwangwala alitoa sharti kwamba wampigie simu kama wana shida yeye asaidie usajili na mengineyo .....yote hayo aliyasema huko jamhuri ya twitter katika juhudi zake za...
  9. N

    Kwa hili la Kigwangwala, Simba wanachezea almasi mchangani

    Kigwangwala also known as SAID BAGAILE ni mgodi unaotembea baada ya kuitumikia nchi kwa uadilifu mkubwa na ustadi akiwa naibu waziri kisha waziri sasa ni wakati wa simba sc kumtumia kwa uzuri. Kila siku Bagaile anatoa malalamiko jamhuri ya twitter na ma parody yamemgeuza mdoli punching bag...
  10. Kigwangalla amechanganyikiwa, hakujiandaa na anguko lake la kisiasa

    Kigwangwala ni moja wanasiasa vijana machachali wa zama hizi ambaye safari yake ya kisiasa uhenda ndio imemalizika. Naona anatumia nguvu kubwa sana kujaribu kuweka mambo sawa kulinda jina lake, anashinda Twitter akijisafisha. Mara utamuona Instagram akijisafisha. Ametembea baadhi ya media...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…