Tatizo la Presha kuwa juu
Ugonjwa wa presha kuwa juu ni miongoni mwa magonjwa yanayowakumba watu wengi kwa sasa katika jamii.
Kutokuwa na elimu sahihi ya ugonnjwa huu pamoja na kuwa na imani potofu juu ya ugonjwa huu inachangia wingi wa tatizo hili, imani potofu na elimu duni ya ugonnjwa...
Kiharusi ni hali inayotokea pale mishipa inayosambaza damu kwenye ubongo inapopatwa na misukosuko kiasi cha kushindwa kupeleka damu kwenye ubongo na hivyo kuathiri ufanyaji kazi wa ubongo kwa zaidi ya masaa 24.
Kulingana na shirika la afya duniani kiharusi ni nakisi katika neva ambayo hutokana...
Kiharusi (stroke) ni ugonjwa wa kupooza sehemu au upande mmoja wa mwili kutokana na hitilafu/uharibifu kwenye ubongo, hasa ubongo kukosa damu au damu kuvilia ndani ya ubongo.
Kiharusi husababisha ulemavu na vifo duniani kote ambapo kila mtu mmoja (mwenye miaka 25 na zaidi) kati ya wanne hupata...
Kwa mara ya kwanza Taasisi ya tiba ya mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imefanya upasuaji wagonjwa 11 wenye kiharusi na magonjwa mengine ya mishipa ya damu ndani ya ubongo bila kufungua fuvu kupitia mtambo wa kisasa wa Angio suite (Cath lab) uliopo MOI.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt...
Kwenye maisha usiwe serious sana ishi Kama mwijaku furahia maisha fanya vitu ambavyo vinaonekana vya ajabu mtu mzima kuvifanya mfano kubebana mgongoni,.
Kuwa serious kwenye ishu ya posho tu maana usipokuwa serious kwenye hela unaweza kudhulumiwa usipate gawio.
Kula vinono na kunywa pombe...
Wagonjwa wa kiharusi (stroke) 30 kati ya 100 wanaotibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hufariki dunia kutokana na kuchelewa kufikishwa hospitali.
Hayo yamesemwa leo Oktoba 13, 2023 na Mwenyekiti Chama cha Wanasayansi wa Magonjwa ya Mishipa ya Fahamu Tanzania (TNA), Profesa William Matuja...
Jamani kama Ugonjwa ambao kwa sasa Unawakumba kwa sana Watu wazima (kuanzia wa Miaka ya 60 na kuendelea) na naambiwa kwa sasa hata Vijana nao (achilia mbali Sisi Wazee wa Kati akina GENTAMYCINE tunaupata ) wanaupata ni wa Kiharusi ( Stroke )
Huzuni Kubwa inanipata ninapoandika huu Uzi kwani...
Chapisho la Timu ya Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Maryland katika jarida la Neurology, limeonesha wenye Damu ya Kundi A wana uwezekano mkubwa wa kupata Kiharusi kabla ya umri wa miaka 60.
Wenye Kundi O la Damu wameonekana kuwa na uwezekano mdogo au kuchelewa kupata Kiharusi cha mapema...
Wataalam wa afya wanasema asilimia 80 ya viharusi vinaweza kuzuiwa kupitia mabadiliko ya mtindo mzuri wa maisha na kucheki afya mara kwa mara ili kudhibiti hatari za kiharusi.
Watafiti wamegundua hatua nyingi ambazo watu wanaweza kuchukua ili kupunguza hatari ya kiharusi.
1. Ikiwa unavuta...
Daktari Bingwa wa Upasuaji Ubongo kutoka Taasisi ya Mifupa MOI, Dkt. Laurent Mchome amesema kumekuwa na ongezeko kubwa la Wagonjwa wa Kiharusi nchini na wanaokutwa na tatizo hilo sana ni watu wenye miaka 40 na kuendelea.
Akielezea utaratibu wa gharama za Matibabu ya Ugonjwa huo ambao mara...
Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) imesema kila siku inapokea wagonjwa watatu wenye tatizo la kiharusi (stroke).
Hayo yameelezwa leo Septemba 20 na Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo, Laurent Mchome katika kambi maalumu ya upasuaji wagonjwa 12 wenye matatizo ya uvimbe kwenye ubongo na matatizo...
Kirusi kipya "West Nile" virus kimeripotiwa huko Oklahoma ambapo visa 10 vimeripotiwa CDC, hali hii imetia hofu hasa kutokana na kuongezeka kwa ama kipindi hiki cha majira ya joto
My take: Kuibuka kwa magonjwa mapya duniani kunashiria hatari zaidi
=========
US health officials brace for...
Mkurugenzi wa Sadeline Health Care, Bi Sara Kitainda akizungumza katika Mchana wa Tabasamu, leo Februari 26, 2022.
Serikali na wadau wameombwa kuwawezesha na mitaji ya kibiashara akina mama na walezi wenye watoto wenye kiharusi na waliopooza kwani hutumia muda mwingi kuwahudumia watoto hao na...
MARADHI YA KIHARUSI
Kiharusi ni hali inayotokea pale mishipa inayosambaza damu kwenye ubongo inapopatwa na misukosuko kiasi cha kushindwa kupeleka damu kwenye ubongo na hivyo kuathiri ufanyaji kazi wa ubongo kwa zaidi ya masaa 24.
Kulingana na shirika la afya duniani kiharusi ni nakisi katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.