kihaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vijana wa kihaya - mnaitwa πŸ™ŒπŸ½

    Heshima kubwa sana kwenu, nilikua nasikiaga tu sifa zenu ila jana nimejionea πŸ™ŒπŸ½πŸ”₯πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½. Wakora sana, nahisi nimempata omugonzibwa wange πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚. https://youtu.be/wrEDCIdx0ek?si=W-8HZWjEOf5oA5eR
  2. Mama wa Kihaya kahamia jirani na mimi. Ameokoka ila...

    Ni mweusi, mrefu, ana tacle lile og, macho legevu, analegeza sauti akiongea na mimi. Ni jirani mwema sana.
  3. Wasanii wetu hawawezi kushinda Grammy labda wafanye sampling ya Mziki wa Kihaya

    Ukisikiliza nyimbo za kihaya na Design yake ya uchezaji, vikitumika vizuri tunapeleka Bongofleva kwenye Grammy. Grammy wanapenda vitu asilia, na sio vya ku-copy. Ukisikiliza hii nyimbo ya Mwanamama "Sauda Haulat - Dereva Babili" ni nyimbo iliyotoka miaka ya 2000 mwanzoni lakini ingefanyiwa...
  4. Abahaya n'Empaya

    TUJIFUNZE KIHAYA SANIFU KATIKA MUKTADHA WA WAZIBA: 1. USISEME: Mjwahuzi yagya aruwanja rwe ndege. SEMA: Mjwahuzi yagya aituriro lye ebiarazi. 2. USISEME: Ompe omwanvuli. SEMA: Ompe ekiziba izoba. 3. Husiseme: Ntugya akikao Sema: Ntugya alukiko. 4. USISEME: Ntulya omuchele SEMA: Ntulya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…