Mimi nilikuwa mtumishi wa Halmashauri na nilistaafu kwa mujibu wa sheria baada ya kufikisha miaka 60.
Nilipofuatilia mafao yangu hawa wajamaa wakagoma kunilipa wakitoa sababu kuwa mpaka michango yote ambayo Halmashauri ilitakiwa inichangie zichangwe kwanza na Halmashauri husika kwenda PSSF...