kijamii

Chama Cha Kijamii (CCK) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanawake huwa mnajisikiaje ku-Edit picha zenu kisha kuzituma kwenye mitandao ya kijamii hali ukijua siyo halisi?

    Kwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!! Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie. Picha nyingi zimejaa filter editing za kutosha kiasi kwamba mtu anageuka kuwa mrembo wakati siyo. Jambo...
  2. S

    Kwanini contents nyingi katika Mitandao ya kijamii ni ya kuhamasisha ngono?

    Katika Videos kumi utaka-zoplay either FACEBOOK, INSTAGRAM e.t.c, Saba katika videos hizo ni za kuhamasisha ngono. Je, Ni kuwa watu wamewekeza sana katika ngono. Karibuni tujadili hili Wanajamiiforums wenzangu.
  3. Mitandao ya kijamii (social network) kwa dunia ya sasa inalipa watu kwa maudhui ya wateja kwa nini jamiiforum wasiingie.

    Ili kupata watumiaji wengi mitandao ya kijamii imekuwa ikivutia watu wengi kwa malipo ya maudhui na idadi ya wafuasi waliopo kwenye maudhui. Kutokana na sisi kulala na yeye jamiiforum kuzidi kuchuma kwetu maudhui bila malipo kutungwe sheria ili kulipwa kwa wanaotoa maudhui. Yeye anafaidika na...
  4. Uzingativu wa jinsia: Mfumo dume bado kikwazo katika mitandao ya kijamii

    UZINGATIVU WA JINSIA: MFUMO DUME BADO KIKWAZO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII Utamaduni wa mfumo dume katika jamii umeelezwa ni mojawapo ya sababu za kutozingatia uandishi wa masuala ya kijinsia katika kuripoti habari wakati huu ambao idadi kubwa ya vijana nchini Tanzania wakitumia mitandao ya...
  5. SnapTube ni software nzuri Kwa watumiaji wa simu na waoenzi wakupakua videos za YouTube na mitandao mwingine ya kijamii.

    Habari, maelekezo hapo juu yanajieleza vyema. Wawezaipata app store.
  6. Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii nchini

    Serikali ya Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii ikiwamo Facebook na Tiktok nchini humo kwa muda wa hadi miezi mitatu, huku ikitegemea udhibiti wa maudhui. Agizo hilo limetolewa na Mamlaka ya Kitaifa ya Mawasiliano ya Sudan Kusini (NCA) Jumatano Januari 22...
  7. X

    Ukweli ambao wengi hawaujui ni kuwa China haijawahi kuifungia mitandao ya kijamii ya Marekani, ila mitandao ya Marekani ilikimbia kutoa huduma China

    Baada ya hili sakata la TikTok nimekutana na wadau majukwaani wakidai China ndio wa kwanza kufungia mitandao ya kijamii ya Marekani. Kwa hiyo ni kama Marekani nao wameijibu China. Wengi hawajui kuhusu sheria za China inapohusu huduma zozote ambazo zitahitaji taarifa za watumiaji. Ikiwa unataka...
  8. Elon Musk: Vyombo vya habari vimeshakufa, mitandao ya kijamii imechukua nafasi zao

    Hata mimi naungana na bwana Musk, binafsi inaenda miaka 2 sasa nimeshasahau kitu inaitwa redio, runinga kutizama ni mara moja moja sana, tena siyo taarifa ya habari, natazama vipindi vingine kama mpira, wildlife nk. Mainstream media za bongo zimejipangaje na hii transition inayoenda kutokea?
  9. Dodoma: Polisi yamsaka nchi nzima aliyetangaza kuuza mtoto kwenye mitandao ya kijamii kwa TSh. milioni 1.6

    Jeshi la Polisi linamtafuta kwa kuendesha msako nchi nzima mtu ambaye anaonekana kushoto mwa taarifa hii ambaye ametengeneza na kusambaza picha mjongeo (video clip) akitangaza jongeo kuwa anamuuza mtoto al aliyembeba kwa shilingi milioni moja na laki sita. Msako huo utahakikisha anakamatwa ili...
  10. Pre GE2025 Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA-TAIFA hauna ushindani kabisa, ni Uchaguzi mwepesi mno

    Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba mgombea huyo anaungwa mkono nje ya chama, kwenye mitandao ya kijamii na wana harakati wasio na...
  11. Prince Dube ajiondoa katika mitandao ya kijamii

    Siku moja baada ya kuibeba Yanga SC kwa bao la dakika za majeruhi dhidi ya TP Mazembe, mshambuliaji Prince Dube amejiondoa katika mitandao ya kijamii. Hatua hiyo imewashangaza mashabiki na kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa mchango wake katika kuokoa matumaini ya Yanga kwenye michuano ya...
  12. Account gani ya ajabuajabu ya mitandao ya kijamii unaifuatilia?

    Iwe facebook, instagram, twitte nk. Ni account gani unaona hii kwa kweli ni ya ajabu na unaifuatilia. Mi kuna hii ya instagram watu toka sehemu mbalimbali duniani wanapost fimbo🤣 officialstickreviews. https://www.instagram.com/p/DDkCR8JOxwG/?img_index=1&igsh=eXF0ZmcwbmJiN294
  13. Nguvu ya mitandao ya kijamii kwa viongozi wetu

    Siku ya jana katika uapisho wa Mawaziri na mabalozi wapya tumeona Rais wetu akiongelea kuhusu kumteua daktari Janabi hii Ina maana kuwa wanafuatilia kwa ukaribu mambo yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii Sambamba na kikao cha kamati kuu ya CHADEMA tumeona Makamu wa Mwenyekiti wao Lissu...
  14. A

    KERO Lugha za baadhi ya madalali wa nyumba mitandaoni hazina maadili na huweza kuleta athari kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii

    Mitandao ya kijamii imekuwa na athari kubwa kwa watumiaji zikiwemo zenye matokea chana na zingine matokea hasi. Moja wapo ya manufaa chana ni namna ambavyo mitandao ya kijamii imesaidia utangazaji wa biashara mbalimbali mitandaoni na upatikanaji wa bidhaa mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii...
  15. Rais Samia afuta sherehe za Uhuru, aagiza fedha zitumike kusaidia huduma za kijamii

    Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kufuta sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara na badala yake fedha zilizotengwa zitumike kusaidia huduma za kijamii. Amesema fedha zilizotengwa katika kila taasisi kwa ajili ya maadhimisho hayo zielekezwe katika kutoa huduma za kijamii, huku akieleleza...
  16. X

    Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

    Red flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta attention za wanaume. Na ndio maana wengi wao wakifuatwa DM huwa wanajibu wako single...
  17. Naombeni muongozo jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii kama FB,Instagram na Whatsup ili kuwafikia watu wengi zaidi kibiashara

    Naamini miongoni mwenu kuna wanaotumia mitandao ya kijamii kibiashara nami nahitaji kuwa miongoni mwao.Nahitaji kuwafikia watu zaidi kupitia mitandao hii kwa ajili kuwafanya wawe aware na uwepo wangu kwenye biashara fulani.Nimeilenga mitandao 3.Insta,FB na Whatsup.Pia kama kuna yeyote mwenye...
  18. M

    Kunaibuka kizazi ambacho baadhi ya watu wamwekuwa wakishabikia upuuzi wa kwenye mitandao ya kijamii kuliko masuala ya muhimu

    Fikiria suala la Pididdy lilivyowachukulia muda wao kulijadili kuluko hata kujadili suala muhimu la kilimo na elimu. Sasa hivi kichwani mwao ni suala la Baltsar Engonga. Kana kwamba ni wapuuzi wanaoshinda kudadadavua mambo Hawajui kuwa sayansi na technolojia ipo juu kiasi kwamba hata picha...
  19. Serikali yafunga Mitandao ya Kijamii Siku chache kabla ya Uchaguzi Mkuu

    Serikali ya Kisiwa cha Mauritius imezuia upatikanaji wa Mitandao ya Kijamii kuanzia leo Ijumaa, Novemba mosi hadi Novemba 11, 2024 Siku chache kabla ya Uchaguzi Mkuu Taarifa iliyotolewa na Kampuni ya Mawasiliano ya EMTEL, imesema iliamriwa Alhamisi usiku na Mamlaka ya Teknolojia ya Habari na...
  20. Je, ni sahihi Kituo cha Polisi na Polisi kuwa Chombo cha Usuluhishi wa migogoro ya kijamii?

    Kum-radhi kama bandiko langu litakuwa na maana/maudhui ya tofauti na kuhitaji kufahamishwa na kuelimishwa. Ni mimi wako UWESUTANZANIA. Katika jamii nyingi na maeneo tofauti tofauti hapa nchini kwetu kumekuwa na desturi ya watu kukimbilia polisi na polisi kupokea na kusikiliza kesi hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…