Tanzania inatarajia kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 2024, je, utashiriki katika Kupiga Kura?
Kama ndiyo/hapana kwanini?
JamiiForums inakukaribisha kushiriki katika Mjadala utakaohusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 2024, utakaofanyika kupitia XSpaces, leo Agosti 22, 2024...
Umeelewa nini kwenye katuni hii?
Kijana Mtanzania, badili mtazamo
Tuwasihi vijana wetu wagombee nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Serikali za Mtaa kuanzia mwaka huu na hatimaye wagombee uchaguzi mkuu mwakani.
Vijana, kueni na uthubutu. Hapa tunawahitaji vijana wa vyama vyote vya...