Kabla ya kijazi interchange eneo hili lilikuwa linaruhusu wananchi (wanafunzi/wakazi/watembezi na sisi wazururaji) kuvuka kutoka upande mmoja hadi mwingine bila shida. Ila baada ya kuwekwa flyover uwezo huo umeondoshwa na option iliyokuwepo kwa watu hap ni ya hatari sana.
Nafahamu kuondoa wavu...
Kuna usemi wa Kijaluo kwamba "Solution to One Problem Carries the Seeds for the Next Problem" yaani "ufumbuzi wa tatizo moja hubeba mbegu za kuotesha tatizo jingine, tafsiri isiyo rasmi"
Daraja-kavu la Amb. Kijazi Interchange katika Manispaa ya Ubungo jiji Dar es Salaam ambalo mwanzoni...
Salaam,
Naomba kufahamu Je! Jina la daraja la Ubungo almaarufu Kijazi Interchange limebadilishwa au mamlaka husika wanatengeneza bango bora zaidi?
Maana lile bango lililokua na jina halipo tena.
Kwanza tujikumbushe kuwa gharama ujenzi wa 'flyovers' na 'interchanges' ni msaada 'Grant' kutoka serikali ya Japan na nyingine ni mkopo kutoka Benki ya Dunia (Mabeberu) . Mikataba ulishaingiwa kujenga aina 6 za mfano wa hizo katika makutano ya barabara hapa mjini tangu awamu ya 4 mwishoni.
Watu...
Wameanza fensii zile za waya kila siku zinadondoshwa, sijajua next itakuwa ni nini.
Naomba vyombo vya ulinzi wafuatilie isijekuwa ni hujuma za wazi wazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.