Kipini: Kijiji cha pwani ya Kenya kinachotoweka baharini
Roberto Macri
Maelezo ya picha,Wageni wakati mmoja walifurahia mandhari ya kupendeza kutoka kwa roshani ya hoteli ya Tana Lodge
Wakati Roberto Macri alipojenga hoteli yake ya kifahari katika kijiji cha Kipini, pwani ya Kenya ilikuwa...