kijiji cha kifundai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fundi wa fundi

    Wakazi wa kijiji cha Kifundai na vitongoji vyake tunakabiliwa na changamoto ya huduma mbovu za afya na mawasiliano

    Tunakabiliwa na shida ya mtandao wa mawasiliano, yaani ukitaka kupiga simu lazima uende kitongoji kingine mbali ya kwamba tuna zahanati ya kijiji, wananchi waliojiunga na bima hawana faida au hawafaidiki na bima hizo pindi wanapoenda kutibiwa tafadhali serikali inatusaidiaje katika hili. Tuna...
Back
Top Bottom