kijiji cha mrijo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kero ya kelele uwepo wa Baa karibu na Kituo cha Afya Mrijo Chini wilaya ya Chemba

    Kumekuwa na kero ya kukosa utulivu nyakati za usiku baada ya uwepo wa sehemu hii ya biashara kwani sehemu hii ipo karibu na hospital na makazi ya watu na kusababisha watu kushindwa kulala wakiwemo watoto, pia wagonjwa hawapati utulivu na hakuna anayesema lolote kuhusu hili. Nahisi ni kuogopa...
Back
Top Bottom