Watu wasiojulikana wametekeleza tukio la mauaji kwa kumuua Isack Mallya (72) mkazi wa Kijiji cha Umbwe Onana, Kata ya Kibosho Magharibi mkoani Kilimanjaro na kisha kutelekeza mwili wake nje ya nyumba yake.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa...