Kufuatia kile ambacho kimetokea usiku wa wa jana kwa Simba SC kuzuiwa kufanya mazoezi katika Uwanja wa Mkapa, na kueleza hawatashiriki mchezo wa Dabi ya dhidi ya Yanga SC.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) Mzee Steven Mguto ambaye amefunguka kwamba kamati ya usimamizi na uendeshaji wa Ligi...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana katika kikao cha dharura kesho, Ijumaa tarehe 29 Novemba 2024. Kikao hicho kitajadili matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji 2024 na kutoa msimamo rasmi wa Chama. Mwenyekiti wa Chama, Mhe. Freeman Mbowe...