Katika taarifa yake kwa Umma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CPA Amos Makalla ameliambia Taifa kuwa CCM itafanya Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Jijiji Dodoma na Vikao vyote hivi vitaongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan.
===
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.