BUNGE limeambiwa kuwa Serikali inavunja sheria kulinda makosa yake ya kupoka mamlaka ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Hayo yameelezwa leo bungeni Dodoma na Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Bulaya alipokuwa akichangia mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali iliyowasilishwa wiki iliyopita na Waziri wa...
Kabla ya kuanza kutumika kikokotoo cha asilimia 33% kwenye kiinua mgongo na asilimia 67% kwenye pensheni ya kila mwezi, kulikuwa na mifuko mitano (5) ambayo kila mmoja ulikuwa na formula yake kwenye ukokotoaji wa mafao ya uzee:
1. LAPF na PSPF: Asilimia 50% kwenye kiinua mgongo na asilimia 50%...
Hapa tunarudi nyuma kidogo kabla ya kuanza kutumika kikokotoo cha Asilimia 33% kwenye kiinua mgongo na asilimia 67% kwenye pensheni ya kila mwezi, kulikuwa na mifuko 5 ambayo kila mfuko ulikuwa na Formula yake kwenye ukokotoaji mafao ya uzee ambapo :-
1. LAPF na PSPF ilikuwa ni asilimia 50%...
Mimi nilikuwa mtumishi wa Halmashauri na nilistaafu kwa mujibu wa sheria baada ya kufikisha miaka 60.
Nilipofuatilia mafao yangu hawa wajamaa wakagoma kunilipa wakitoa sababu kuwa mpaka michango yote ambayo Halmashauri ilitakiwa inichangie zichangwe kwanza na Halmashauri husika kwenda PSSF...
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma.
Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
===
Pia soma:
Dkt. Mpango: Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.