Haya ndugu zangu
Tayari kuna mwananchi amegundua maji mabaridi/matamu fukwe ya pwani ya Konde visiwani Pemba.
Jamaa anasema yeye pamoja na familia yake wote walikuwa wanaumwa baadaye walipokunywa maji waliweza kupona wote na hata baada ya kuaambia majirani mwanzo walipuuza ila nao,wakayatumia...
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR. Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali yake walienda kunywa kikombe hicho na amesema kuwa wengine walikuwa wakimwambia wanatengeneza...
Mganga wa tiba mbadala ndugu Shabani wa Lushoto mkoani Tanga amesema amegundua dawa ya kinga ya Corona ambayo imewasaidia watu wengi mkoani Tanga.
Shabani amesema dawa hiyo ni kinga kwa magonjwa yote ya mfumo wa kupumua na kwamba hadi sasa wabunge wengi wameshakwenda hapo Lushoto kunywa kikombe...
Tumerudi kutoka Madagascar jana usiku ila hatujaja na dawa ya kuanza kugawa leo, tumekuja na dawa za kuanza utafiti na uchambuzi maabara, nimepokea simu nyingi, meseji WhatsApp Watu wanataka niwagaie, jamani sina dawa, sijaja na chupa za dawa”- Waziri Kabudi
“Chupa tumepewa mbili tu (control)...
Mchungaji Ambilikile Mwasapile maarufu Babu wa Loliondo aliyehudumia maelfu ya watu ndani na nje ya nchi kwa dawa aliyoitoa kwa kipimo cha kikombe amedai ameoteshwa kuwa umati utarudi kijijini Samunge kupata dawa.
Amesema ana uhakika wa jambo hilo kwa kuwa hata mwaka 2011 kabla ya maelfu ya...
Babu wa Loliondo a.k.a kikombe cha uzima aliweza kutikisha karibu Afrika nzima kwa madai ya kuwa yeye anaweza kupona ugonjwa wowote kupitia dozi moja ya dawa wa maji pekee.
Wengi walitekwa na jambo hili na kufanya matajiri, maskini, wazee, vijana kumiminika katika kibanda chake cha kuuza hio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.