kikongwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    Chuo kikuu cha mwanzo na kikongwe zaidi duniani kilianza kama madrasa ndani ya msikiti.Kipo Afrika na kilijengwa na mwanamke.

    Madrasa ndio mfumo mkongwe zaidi wa kutoa elimu ambao umedumu kwa karne kadhaa kabla hata Ulaya hawajajua kusoma na kuandika na Marekani haijajulikana kuwepo kwenye uso wa dunia. Katika kufuatilia historia ya ukuwaji elimu utapata kujua kuwa chuo kikuu cha mwanzo duniani ni kile kilichoanzia...
  2. Nyendo

    Wakati wa uchaguzi chama kikongwe hujidai kama siyo chanzo cha umasikini uliopo nchini

    Kipindi cha uchaguzi na maajabu yake, utasikia maneno na mipango ya busara kutola kwenye chama kikongwe huku wakijitenga kuwa chanzo cha uharibufu na umasikini uliopo, watatoa mawazo chanya yenye akili kama siyo wao waliokaa madarakani toka kabla ya kuanza kwa vyama vingi nchini Tanzania ila...
  3. GENTAMYCINE

    Kweli sasa Shilingi yetu inazidi Kushuka thamani yake kama Chama Kimoja Kikongwe cha Siasa kinavyozidi Kushuka thamani Barani Afrika

    Kwa wale tuliosoma au kuishi Uganda miaka ya katikati ya 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 mtakubaliana nami GENTAMYCINE kuwa tulikuwa tukija Uganda na TSHS 200,000 basi huku tukizibadili tunakuwa Matajiri na Kula sana Bata maeneo ya Club Silk na Ange Noir kwani tulikuwa tunapata UGX 400,000...
  4. T

    Kikongwe wa miaka 110 aua mke kisa kunyimwa unyumba

    Babu, kikongwe wa miaka 110 amekamatwa kwa kosa la kuua mke baada ya mke wake kumnyima unyumba. ==== Polisi huko katika wilaya ya Ntungamo nchini Uganda, wanamshikilia mzee mmoja mwenye umri wa miaka 110 kwa tuhuma za kumuua mkewe mwenye umri wa miaka 109 kwa kosa la kumnyima unyumba. Kwa...
  5. BARD AI

    Kikongwe wa miaka 90 adaiwa kuuawa kisa kumkataza kijana asipande mnazi

    Hilda Ngassa (90) ameuawa kwa kudaiwa kukatwa kwa panga na Yohana Luhanga (32) ambaye naye ameshambuliwa na wananchi wenye hasira kali na amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma akipatiwa matatibabu. Inadaiwa sababu za kuuliwa kwa Hilda ni kutokana na kumkataza Luhanga asiangue...
  6. B

    Chuo Kikuu cha Dar (UDSM) chajadili Mkataba wa Bandari

    Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Ndaki ya Sayansi ya Jamii Kitivo kikongwe cha chuo kikuu cha UDSM chajadili kwa pamoja na jamii nzima mkataba wa bandari Mwenyekiti wa mjadala wa leo Dr. Ng'wanza Soko Kamata wa kitivo cha CoSS UDSM aliwakaribisha wote waliojumuika ukumbini na wale walioshiriki...
  7. ChoiceVariable

    Sengerema: Kikongwe wa Miaka 102 Afunga Ndoa na Mkewe Mwenye Miaka 90

    Hongera kwao ila mwenye miaka 90 anaonekana Mzee Kupitia wa miaka 102. ===== Masasila Kibuta (102) mkazi wa kijiji cha Nyamazugo wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza ameshangaza umati wa waumini wa Kanisa Katoliki Kigango cha Nyamazungo baada ya kufunga pingu za maisha na mkewe Chem Mayala (90)...
Back
Top Bottom