kikosi cha mgambo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Iringa: Wananchi walia kwa uchungu baada ya mgambo kuvamia na kubomoa nyumba zao saa 10 usiku

    Wakuu, Baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Iringa wanalalamikia kundi la watu waliotajwa kama Mgambo kuvamia na kuvunja Vibanda, nyumba na kuharibu mali mbalimbali ikiwamo na kuvunja jiwe la msingi la CCM na kuchana picha ya Rais Samia Suluhu Hassan na Hayati Magufuli. Zoezi hili linadaiwa...
  2. ukwaju_wa_ kitambo

    Changamoto zipi unazipata wewe mwananchi kutoka kwa mgambo?

    MSANII BLACK SKULL Mgambo ni jeshi halali japo si chombo cha dola. Haliundwi na rais kama yalivyo majeshi mengine isipokuwa linaundwa na sheria ndogo ndogo ambazo zinazipa mamlaka halmashauri za miji au wilaya kujiundia vyombo vyao vya ulinzi na usalama kwa ajili ya kusimamia shughuli ambazo...
Back
Top Bottom