kikosi cha yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GANJIBHAAI

    Kama kweli Mechi imeahirishwa kwanini wameruhusu kikosi cha Yanga na Mashabiki wake kuingia Uwanjani?

    Inamaana kwa Mkapa hakuna Uongozi, kanuni na taratibu? Ama kweli mapenzi yakizidi hugeuka kituko.
  2. The Watchman

    Ally Kamwe asema kikosi cha Yanga kitawasili saa 11 uwanjani kujiandaa na Mechi ya dabi leo jioni

    Meneja Habari Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe anasema timu itawasili uwanjani saa 11:00 jioni kujiandaa na mechi ya leo jioni. Itakumbukwa bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kupitia Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imetangaza kuahirisha Mchezo wa Yanga dhidi ya Simba kwa mujibu...
  3. Kitambi chakufutia tachi

    FULL TIME: NBC PL | Young Africans 6-1 Ken Gold | KMC Complex | 05/02/2025

    Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold. Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili wakiwa na wamecheza michezo 16 wakishinda michezo 14 na kupoteza 2 huku wakifunga magoli 36 na...
  4. ngara23

    Saed Ramovic hawezi kuleta kikombe hata kimoja Yanga

    Mimi kama mwanachama wa Yanga. Siridhishwi na kiwango na mbinu za coach Saed Ramovic Huyu alitakiwa awe coach msaidizi apate uzoefu Sijui Eng Hersi ulimchukua Kwa wasifu gani Mapungufu yake 1. Hana mbinu nzuri Saed Ramovic ana mbinu butu mno, Unaona hata timu inavocheza ni kama haina coach...
  5. Mkalukungone mwamba

    Hiki hapa kikosi cha Yanga SC kitakacho peleka kilio kwa CBE SA. Klabu Bingwa Afrika pale visiwani Zanzibar

    Leo naona hakutokuwa na mabadiliko makubwa sana katika mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wanyeji Yanga SC dhidi ya wageni wao CBE SA ya Ethopia. Mchezo huu utachezwa katika dimba la New Amaan Complex pale visiwani Zanzibar. Sasa kikosi changu ninachokiona kitakacho anza leo ni kama...
  6. Waufukweni

    CAFCL | Kikosi cha Yanga SC kinachoanza dhidi ya CBE SA FC

    Kikosi cha Yanga SC kitashuka uwanjani kupambana na CBE SA FC katika mechi ya mkondo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League 2024/2025) leo, Jumamosi, Septemba 14, 2024. Mchezo huu utaanza kuanzia Saa 9:00 alasiri. Macho ya Watanzania yataelekezwa jijini...
  7. Mkalukungone mwamba

    Kikosi cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya CBE SA. Klabu Bingwa Afrika hiki hapa

    Yanga SC leo ipo uwanjani huko Nchini Ethopia kuchezo mchezo wa klabu Bingwa Afrika dhidi ya CBE SA ya huko huko Ethopia. Mchezo huu utapigwa mishale ya saa 15:00 Alasiri Kikosi ambacho natarajia kukiona kikianza leo ni kama ifuatavyo -Dirra -Yao -Bakari Nondo -Job -Bacca -Aucho -Pacome -Aziz...
  8. anoldmedia

    CAFCL | Kikosi Cha Yanga sc

    Hiki ni kikosi kinachoanza dhidi Ya Vital'O ya burundi kwenye Mchezo wa Leo
  9. J

    Mzize avunja ukimya pasi ya Chama, asema picha linakuja

    Mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize amesema ubora wa pasi ya mwisho ya Clatous Chama ulimpa urahisi wa kukwamisha mpira nyavuni. Mzize alifunga bao la nne na la mwisho kwenye ushindi wa mabao 4-1 ilioupata Yanga dhidi ya Azam katika fainali ya Ngao ya Jamii iliyochezwa juzi Jumapili kwenye...
Back
Top Bottom