Kipindi Trump anagombea urais dhidi ya Hillary Clinton, Donald Trump alipiga kombora zito lililowaacha wamarekani mdomo wazi. Trump alisema kuwa Obama kwa kushirikiana na Hillary Clinton ndiyo walioasisi kikundi cha kigaidi cha ISIS kilichoua malaki ya watu huko Syria.
Kauli hiyo ilinukuliwa na...
Wadau hamjamboni nyote?
Kikundi cha Lebanon, Hezbollah, kimesema kuwa kimechagua Naibu Kiongozi Naim Qassem kuwa Hassan Nasrallah, aliyeteketezwa na shambulizi la angani la Israeli mnamo Septemba 27.
Katika taarifa yake, Hezbollah ilisema kuwa Baraza lake la Shura lilimchagua Qassem, mwenye...
Wadau hamjamboni nyote?
Muhammad Abdullah Kiongozi Mkuu Islamic jihad ameuawa na shambulizi la ndege za Israel
Mtangulizi wake Muhhamad Jabber
aliuawa hivyohivyo mwezi agosti
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
=====
Live Update arrow right icon From the Liveblog of Friday,
October 11...
Wale ambao hupenda kusingizia kwamba vikundi vya kigaidi vya vinafadhiliwa na Marekani sijui watasema nini baada ya kusoma taarifa hii hapa chini 👇
********************
Kamanda mkuu wa kundi la Islamic State anayesakwa kuhusiana na moja ya mashambulizi mabaya zaidi dhidi ya vikosi vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.