Hii wadau ilikaaje? Mch. Christopher Mtikila. Msomi wa juu wa Sheria, mtu mwenye akili na ujasiri. Alisema wazi bila kuuma uma maneno. Kuwa aliyekuwa Rais wa Tanzania kipindi hicho ndugu kikwete ni gaidi.
Sielewi ile kesi alishindaje shindaje. Je ilithibitishwa kweli ikafunikwa au ilikuaje? Ni...