kilaza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Brojust

    Vigezo vya kuwa platinum member wa JF. Hivi huwa wanaangalia aina za mada au ukongwe wa member, Hongereni sana platinum members sijaona kilaza kabisa.

    JF kwa kweli hongereni sana timu nzima ya wakandarasi wa mtandao huu pendwa. Licha ya kwamba JF imekuwa jukwaa huru, lakini hawa platinum members kwa kweli wamekuwa ni watu wa maana kabisa. Ukiona mtu kama Kiranga au Mshana Jr ana comment kwenye mada yako basi ujue kwamba hiyo mada ni ya...
  2. Mlaleo

    Madam Nderitu Mama Mkenya Ofisa wa UN Afukuzwa kazi kwa kulazimisha kusema Israel inafanya mauaji ya Kimbari - Inawezekana amekuwa kilaza

    Umoja wa Mataifa(UN) yamfukuza Nderitu(Faizafoxy wa Kenya) kwa kukataa kuainisha tabia ya Israel huko Gaza kama 'mauaji ya halaiki,' WSJ inahoji. Upinzani wa Nderitu kutaja vitendo vya Israel huko Gaza wakati wa Vita vya Israel-Hamas kuwa mauaji ya halaiki, ulisababisha Umoja wa Mataifa kukataa...
  3. K

    Unahitaji kuwa kilaza wa kiwango cha SGR kuamini kuwa Hayati Magufuli alipanga kuwa rais wa milele

    Kuna hii propaganda ya kijinga sana imekuwa ikirudiwa rudiwa mara kwa mara na viongozi wa Chadema akina Mbowe, Lisu na Godbless kuwa rais wa 5 wa nchi yetu hayati Magufuli eti alikuwa anajiandaa na kuweka mazingira sawa ili aweze kung'ang'ania madaraka na kuwa rais wa milele!. Uzuri wa...
  4. hermanthegreat

    Hili la Diamond kujihakikishia kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani linaashiria nini katika ulimwengu wa giza?

    Watu wa ulimwengu wa giza njooni hapa mtoe maoni yenu. Ukuaji wa diamond kutoka zero hadi hapo alipo umekuwa wa kasi isiyotegemewa. Amezungumza akiwa anajiamini sana kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani, hawezi kuwa na uhakika kiasi hiki bila kuwa na maagano ya siri.
  5. LIKUD

    Kilaza ni wimbo utakaowafungua wazazi wenye vipato vya kawaida, wanaohangaika kulipa mamilioni ili kusomesha watoto Shule ya Kiingereza

    Is it coincidence? Au dunia imeamua KUNIKUTANISHA na watu wenye mtazamo kama wangu? Au dunia imeamua kuni - prove right kuhusu mtazamo wangu kuhusu English Mediums za Tanzania? Only God knows, hivyo ndivyo unavyoweza kusema but all in all, watu wameanza kuamka sasa. Back to the topic 👇👇...
  6. Nyafwili

    Vyeti vya Elimu ngazi ya chuo Vitofautishwe Sababu za Kurudia Mwaka na Kuahirisha Masomo, Itasaidia kujua yupi ni kilaza au alipitia ugumu wa kimaisha

    Habari wana jamiiforums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hili bandiko sijagusa Maisha ya mtu/watu. Lakini Kwa njia hii, vyeti vya wanachuo vitoe picha kamili na sahihi kuhusu sababu za muda mrefu wa masomo yao, hii itasaidia kuepusha mkanganyiko kuhusu uwezo wao wa kitaaluma na changamoto...
  7. J

    Naanza kuwaza weledi wa bidada wa Ikulu na team yake

    Hata kama ni haraka unawezaje kuandika Press release ya ajabu namna ile tena inatoka Ofisi kuu ya Nchi , Nanukuu baadhi ya maneno Para ya Kwanza, " Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe.Nurdin Hassan Babu...
  8. Mwizukulu mgikuru

    Kwanini mtu kilaza huwachukia vilaza wenzie?....

    huwa nashangaa kumuona kilaza akiwachukia vilaza wenzie... Au mwizi anamchukia mwizi mwenzie mfano mwendanzake aliwachukia vilaza ila yule mzee alikuwa kilaza kwelikweli..
  9. F

    Ukitaka usipoteze muda na uhudumiwe haraka kwenye ofisi za umma ni muhimu kujua unahudumiwa na mtu wa aina gani

    Kama hupendi mambo yako yaharibike unapokwenda kwenye ofisi za serikali kuomba huduma flani basi uwe na akili ya haraka ya kutambua yule afisa ni mtu wa aina gani. Mara nyingi kama yeye ni mjinga basi fanya kila uwezalo ujifanye mjinga zaidi yake, wakati mwingine hata zuzu kabisa (hii ni ngumu...
  10. Restless Hustler

    Msaada Wa Ushauri: Supervisor wangu ni kilaza

    Huyu mwanamke ni kituko kweli. Ana zaidi ya miaka 10 kwenye hii taasisi na amekuwa akipandishwa vyeo lakini kwa ufupi ni kilaza/kiazi na mwenye majivuno yasiyo na maana yoyote. Anaweza akakupa tasks za field halafu ukienda field anakupigia simu anakuuliza upo wapi mbona haupo ofisini...
  11. Tajiri wa kusini

    Naondoka mkoa X baada ya Mkuu wa Mkoa mpya kuwa kilaza na alikuwa classmate wangu

    Hivi itakuwaje mtu ambaye alikuwa kilaza na mshika mkia darasani kwenu akuongoze wewe? Hiki ndicho kilichotokea baada ya mkuu wa mkoa hapa mkoani kwetu kuchaguliwa au kuteuliwa wakati yeye alikuwa kilaza wa kufa mtu darasani kwetu na yeye alikuwa anatokea mostly kumi mbaya za mwisho kuteuliwa...
  12. Vincenzo Jr

    Hivi ukiwa kada wa CCM ni lazima uwe kilaza?

    Katika mkutano wao leo alisikika kada mmoja akisema vyama vya upinzani ni wapiga kelele kama mbu wakati ana ongea pia baada ya kusema visima anasema vichimba ama kweli ccm makada wao ni mapapai na ni viazi kabisa
  13. sky soldier

    Nashukuru jitihada za wazazi wangu nikaacha kuwa kilaza na kumaliza kwa ufaulu mzuri chuoni

    Tukija kwenye suala la shuleni, mimi niwe mkweli, Sikuwa na uwezo wa kufundishwa na mwalimu pekee darasani, pia kujisomea ilikuwa taabu, nimeanza kujisomea form 2. Nashukuru wazazi waliweza kunipigania nisome english medium lakini hii pia isingezaa matunda kama ningeachwa nisome kivyangu...
Back
Top Bottom