Ndugu wanajamii, nataka kuwashauri tuungane pamoja katika adventure ya kupanda mlima Kilimanjaro! Gharama ya safari hii ni Shilingi 700,000 kwa kila mtu, na itafanyika mwezi wa sita.
Tutatumia Marangu Route, ambayo ni the easiest way to climb Kilimanjaro. Safari hii itachukua siku 6, na itakuwa...
Bendera yenye nembo ya TRA na picha ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa na ujumbe wa kodi wa “TUWAJIBIKE kulipa kodi kwa hiari kwa maendeleo ya Taifa letu” imefika katika kilele cha mlima Kilimanjaro tarehe 09 Desemba, 2024, mlima mrefu kuliko yote...
Habari Wakuu,
Nimekutana na video hii TikTok inayodai hii pande kubwa la theluji lipo Mlima Kilimanjaro na lilikuja kutokana na mabadiliko ya Tabianchi. Kuna ukweli hapa?
Naombeni mtusaidie
---
Kupitia kwenye mtandao wa Instagram Manchester United Foundation wameandika na kuweka na picha wakionyesha wapo watu kadhaa akiwemo CEO John Shiels wakiwa wapo kileleni kabisa mlima wa KIlimanjaro. Ujumbe huo unasomeka.
Wapandaji wetu wa ajabu wa MlimaKilimanjaro wametufanya tujivunie sana -...
Wasalaam.
Wanasema kila jambo fulani liwe zuri au liwe baya basi hutanguliza alama, dalili, viasharia na taarifa fulani za kimafumbo ambazo ni lazima watu wazima wakae chini, wapasue vichwa vyao kuweza kuzi uncode hizo secret codes.
Mwaka 1961 Nyirenda alipandisha bendera ya Tanganyika na...
Hii ndio Taarifa ya sasa kwenda kwa jamii yote Duniani, kwamba hivi ninavyoandika hapa Bendera ya CHADEMA imepandishwa na kusimikwa rasmi kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro, yaani hivi sasa inapepea juu ya mlima huo.
Ndugu David Kilawila ndiye Shujaa aliyefanikiwa kuipandisha bendera hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.