kilele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nimeandaa safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa ajili ya wanaJF tu ambao wanavutiwa kufika kilele cha mlima

    Ndugu wanajamii, nataka kuwashauri tuungane pamoja katika adventure ya kupanda mlima Kilimanjaro! Gharama ya safari hii ni Shilingi 700,000 kwa kila mtu, na itafanyika mwezi wa sita. Tutatumia Marangu Route, ambayo ni the easiest way to climb Kilimanjaro. Safari hii itachukua siku 6, na itakuwa...
  2. Kilimanjaro: Ujumbe wa Kodi wenye picha ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wafika kilele cha Mlima Kilimanjaro

    Bendera yenye nembo ya TRA na picha ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa na ujumbe wa kodi wa “TUWAJIBIKE kulipa kodi kwa hiari kwa maendeleo ya Taifa letu” imefika katika kilele cha mlima Kilimanjaro tarehe 09 Desemba, 2024, mlima mrefu kuliko yote...
  3. G

    Jeshi la Israeli limechukua udhibiti wa kilele cha Mlima Hermoni upande wa Syria bila pingamizi, eneo la kimkakati linalotazama Lebanon na Syria

    Ni eneo la kimakati lililowaumiza Israel vichwa kwa muda mrefu, kilele cha mlima Hermon kiliwapa advantage kubwa Syria na Hezbollah kuichunguza na kuishambulia Israel. Israel imetwaa eneo hili bila pingamizi katika kile kinachodhaniwa "hakuna kitu cha Bure", Israel waliweza kutoa msaada mkubwa...
  4. G

    Uchawa, MAGHOROFA kuanguka, wingi wa wamadaktari uchwara mahospitalini na TZ kuangukia pua kwenye kesi za kimataifa ni kilele cha UBOVU wa ELIMU.

    Hali ya elimu yetu ni mbovu sana. Kama taifa, hivi sasa tuko kwenye kilele cha mavuno ya matunda ya ubovu wa mfumo mzima wa elimu yetu. Na bado huu ni mwanzo tu, kuna siku rais atakuja kuwekewa drip ya mafuta ya taa.
  5. KWELI Hii ni theluji iliyopo karibu na kilele cha Kibo cha Mlima Kilimanjaro

    Habari Wakuu, Nimekutana na video hii TikTok inayodai hii pande kubwa la theluji lipo Mlima Kilimanjaro na lilikuja kutokana na mabadiliko ya Tabianchi. Kuna ukweli hapa? Naombeni mtusaidie ---
  6. Eti ma-senior wenzangu katika kilele chao kati ya Ray-C na Lady Jay Dee, nani alikuwa bora kuzidi mwenzie?

    Mamaa wa kiuno bila mfupa. Binti machozi, Komando Jide Kuleni vyuma kidogo: https://youtu.be/mJs7rPVBRn4?si=ueTatlNOl8Z78ZRU https://youtu.be/N046uBmyZZQ?si=ks60wBXIhtUHrv8s
  7. M

    Kilele cha ubinadamu?

    Kuna haja ya kuitafuta kweli upya. Kuna ulazima wa kujua tofauti ya ukweli na uhalisia. Tusimwachie pilato. Tumekimbia kuipita Dunia?
  8. Tusipende kufananisha matamasha ya Simba day na kilele cha week ya wananchi

    Watu wanalinganisha ubora wa haya matamasha, ambalo ndo jambo baya zaidi. Haya matamasha ni tofauti kabisa. Sisi Yanga tuna utamaduni wetu tofauti na ule wa mtani. Watu wa Yanga ni watu wa burudani, wana pesa na wanajitoa Kwa team Yao tofauti na upande wa pili Simba hawana furaha team Yao haina...
  9. Kuelekea kilele cha simba day, mchezaji mpya kutambulishwa leo

  10. LIVE Kilele cha maadhimisho miaka 85 ya TAG. Mgeni rasmi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

    Shalom Shalom! Leo ni siku ya pekee ambayo waumini Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) wanaadhimisha uwepo wa kanisa hili kwa miaka 85 sasa. Kanisa hilo lilikuwepo tangu kabla wa uhuru wa Tanganyika. Kwa mengine mengi kuhusu kanisa hilo tangu kuanzishwa hadi sasa tafadhali karibu...
  11. K

    Tarehe 30/06/2024ni Killed Cha Maadhimisho ya Kupinga utengenezaji, utumiaji na usambaji wa madawa ya kulevya.

    Tukio ilo kitaifa litafanyika mkoa wa MWANZA Mh Waziri Mkuu atakua mgen rasmi wa jambo hilo kwenye uwanja wa Nyamagana.Brudan zitaanza saa 12:00 Karibuni sana.
  12. X

    Viongozi wa G7 wailaumu China kwenye mkutano wao unaofanyika Italy

    Leo ni siku ya tatu na ya mwisho ya mkutano wa mataifa yanayounda G7; ambao umewakilishwa na maraisi wa USA, U.K, France, Germany, Italy, Japan na Canada na mawaziri wa fedha kutoka nchi hizo. Ajenda kuu ilikuwa China. Maeneo ambayo yamejadiliwa kuhusu China: 1. CHINA INAHATARISHA VIWANDA NA...
  13. Kwa sasa jukumu la kusomesha watoto apewe mwanamke pekee, wanaume tunadharaulika sana watoto wakifikia kilele cha mafanikio

    Nimeona tabia hii imeshika Kasi sana ,akina mama au wazazi wenzetu wanatutambua kama wazazi pindi watoto wanapohitaji karo za shule na mahitaji yote! Wake zetu huwaambia watoto kupeleka mahitaji yao kwa baba ' iwe karo, mavazi, chakula, matibabu na kila kitu mhusika mkuu ni baba!! Lakini baadae...
  14. Miaka 60 ya Muungano, napendekeza kufutwa kwa kombe la Mapinduzi tubakize kombe la Muungano peke yake ambalo kilele chake kitakuwa siku ya Muungano

    Habari za Leo wapenda soccer? Natumai kichwa/title ya thread hii imejieleza vizuri. Nimewaza nikaona nitumie platform hii kwenu ili kama itawezekana, tushawishi viongozi wa mpira kuiondoa michuano ya Mapinduzi cup na badala yake tubaki na Muungano cup. Nasema hivi siyo kwa lengo la kisiasa ila...
  15. Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, Viwanja vya Chinangali - Dodoma, leo Februari 1, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini - Viwanja vya Chinangali - Dodoma leo tarehe 01 Februari, 2024 https://www.youtube.com/live/fB7fwptjOs4?si=vp7708g7DbUnq9CF Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
  16. Simba imeamua kuua timu kwa makusudi kama ilivyofanya Azam ilipokuwa kwenye kilele cha ubora mwaka 2017

    Shida ni viongozi wenye tamaa. Azam ikiwa na kikosi bora iliuza kila mchezaji tegemewa eti ijenge timu upya mwaka 2017. Aishi Manula, Kapombe, Boko wote wakatua simba. Wakimfata shabalala aliyekulia huko huko. Ndio njia inayopitia Simba. Kila mchezaji anayekuja na kufanya vizuri hatakiwi...
  17. Rais Samia: Tuendelee kuchukua tahadhari dhidi ya uwezekano wa uwepo wa mvua la El Nino nchini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Mbio za mwenge wa Uhuru na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Baba Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya Vijana kitaifa katika Uwanja wa Kwaraa Babati, Mkoani Manyara leo tarehe 14 Oktoba, 2023...
  18. Kilele cha Sikukuu ya nane nane, ushiriki wa Wilaya ya Ludewa

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva, ametembelea kwenye mabanda mbalimbali kwenye maonesho ya Nane Nane 2023, Mkoani Mbeya Lengo ni kuzidi kubadilishana mawazo, uzoefu na ujuzi haswa kwenye sekta ya kilimo. Wilaya ya Ludewa- imeshiriki kikamilifu kwenye maonesho ya Kilimo ya...
  19. Suala la Simba kuzindua jezi katika kilele cha Mlima Kilimanjaro sio suala la kimichezo ila ni la kiroho litakaloathiri sana siasa za Taifa letu

    Wasalaam. Wanasema kila jambo fulani liwe zuri au liwe baya basi hutanguliza alama, dalili, viasharia na taarifa fulani za kimafumbo ambazo ni lazima watu wazima wakae chini, wapasue vichwa vyao kuweza kuzi uncode hizo secret codes. Mwaka 1961 Nyirenda alipandisha bendera ya Tanganyika na...
  20. Maadhimisho na Kilele cha Usomaji Quran kufanyika Siku ya Pasaka ni Dharau na Uchokozi kwa Wakristo au ni Utaratibu tu?

    Na nimeona katika tangazo lao kubwa kuwa mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 Aprili, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) ndiyo tutakuwa tunasheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka (Kufufuka kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…