Aprili 14 mwaka huu waandishi wanne nguli—Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu walizindua kitabu chao walichokipa jina la 'I am the State: A President's Whisper from Chato'.
Leo tunafanya mapitio ya sura ya tatu ya kitabu hicho inayoitwa ‘The Dilemma of I am a State’...