kilimo biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Monetary doctor

    Duka la chakula cha samaki na nguruwe kutoka Netherlands

    Habari za wakati huu wakuu, Napenda kuwataarifu kuwa wafugaji wa samaki aina ya Tilapia pamoja na wafugaji wa nguruwe tuna vyakula hivi dukani kwetu. Chakula Cha samaki vipo kwenye makundi tofaut tofaut kulingana na siku ya kutotolewa, wakati wa ukuaji wa mwanzo, ukuaji wenyewe, na mwishoni...
  2. Bwana Mpanzi

    Sababu za kuwekeza kilimo cha cocoa Tanzania

    Cocoa hustawi katika maeneo yenye hali ya hewa ya joto kiasi na mvua nyingi au unyevu kutokana na uwepo wa chanzo kikubwa cha maji iwe mto mkubwa au ziwa au Bahari. Maeneo yanayofaa zaidi ni: Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Ruvuma, Njombe na Songwe): Maeneo haya yana udongo wenye rutuba...
  3. God Fearing Person

    Ndugu zetu wa mikoani mbona mnaomba sana hela, kilimo hakilipi?

    Ndugu zetu wa mikoani mnaomba Sana hela Nauliza je kilimo hakilipi? Au imekuaje tena? Njooni DSM mpambme na nyie mmiliki hela. Maana chakupewa hakishibishi.
  4. bennyblanco

    Ukulima wa kahawa kwa maendeleo ya wakulima na pato la taifa (dhahabu shambani)

    Kahawa imekuwa zao muhimu la biashara nchini Tanzania kwa zaidi ya karne moja, ikichangia kwa kiwango kikubwa uchumi wa taifa na ustawi wa wakulima wadogo. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni, mabadiliko makubwa yameonekana kwenye sekta hii, ambayo yamebadilisha maisha ya wakulima wa...
  5. Mkulima na Mfugaji

    Msaada: Soko la papai

    Habari wakulima na Wafugaji Mimi ni mkulima Mdogo wa mazao ya Matunda kama machungwa na passion ila nimejaribu na kilimo cha papai naona kinakuja vizuri. Nimeanza na miche 1000 ya kisasa na inakuja vizuri na imeanza kubeba, nimeanza kupata hofu ya soko maana kawaida ya papai ikikomaa ibatakiwa...
  6. CHASHA FARMING

    Pixie Oranges ni machungwa ya kuwekeza kwa sasa kwa ajili ya Biashara

    Pixie Orange ni yale machungwa tunayaona kwa Super Market yakitokea either Egypt au South Africa au Zimbabwe. Hizo nchi tatu ndio wazalishaji wakubwa wa Pixie Orange Africa. Yale machungwa ya Muheza ukweli usemwe sio machungwa ya kibiashara yaani Comercial breed, yale ni ya kulishana sisi...
  7. R

    Ukisoma agriculture general unakua nani?

    Je ukisoma agriculture general unakua nani? N unafanya kazi wap? Na nikazi zipi?
  8. Tlaatlaah

    Ili kuwa na uchumi imara fursa ya kipekee ni kilimo, ufugaji na biashara

    Gas ya kupikia kwisha wakati huna jambo lolote mfukoni, au Gas iishe wakati una njaa na ndio tu ameanza kupika na wewe ndio uko njiani unatoka kwenye marejesho ya mkopo? Mbaya zaidi, store hakuna mkaa na mara ya mwisho ulimkopa mangi na hujamlipa mpaka sasa... Wajemeni, kuna afadhalli yoyote...
  9. L

    Serikali iwape wananchi mafunzo na uwezeshi kwa kilimo cha umwagiliaji

    Jamn kwa jua hili Tunaomba serikali iwape wananchi mafunzo na uwezeshi kwa kilimo cha umwagiliaji maana hali c hali
  10. kavulata

    Tutumie fursa ya vita vya Magharibi kuzalisha na kuwauzia bidhaa zaidi

    Kutumia fursa ni elimu, kipaji au hulka ya mtu?. Wazungu wote sasa hivi wanapingana wenyewe kwa wenyewe hali inayopungaza uzalishaji na masoko yao kiuchumi. Lakini Ni ajabu kubwa kuona waafrika badala ya kutumia fursa hii kuungana na kuzalisha, kuuziana na kuwauzia wazungu tunawaza kutekana...
  11. Ojuolegbha

    Maandalizi ya mkutano wa wafanyabiashara wa mifugo, kilimo wa tanzania na comoro yakamilika

    Maandalizi ya Mkutano wa Wafanyabiashara wa Mifugo, Kilimo wa Tanzania na Comoro yakamilika Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Mhe. Saidi Yakubu, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jumuiya ya Wakulima, Wavuvi na Sanaa wa Comoro Mhe. Abdillah M’Saidie ambaye amemueleza kuwa wamekamilisha...
  12. B

    WMA yawapongeza Wakulima Karatu kuzingatia matumizi ya vipimo sahihi

    Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi kutoka Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), Albogast Kajungu, amefanya ziara ya kushtukiza katika mashamba ya wakulima mbalimbali eneo la Mang’ola wilayani Karatu, Mkoa wa Arusha na kuridhishwa na namna wakulima hao wanavyozingatia matumizi ya vipimo sahihi...
  13. Fauya

    Naomba ushauri niwekeze mkoa gani?

    Habari wana Jamvi, Mimi nimeajiriwa Serikalini hivi karibuni na sijamaliza miezi sita kazini. Nimeajiriwa mkoani Kigoma wilaya ya Kigoma Mjini. Nimekuja hapa kuomba ushauri niwekeze mkoa gani ambao nitaweza kupata unafuu wa kusimamia miradi yangu maana nipo interested na uwekezaji katika...
  14. MrfursaTZA

    Kilimo Tanzania: Ufugaji na Kilimo kwa Ajili ya Malisho ya Mifugo

    Utangulizi Tanzania ina nafasi kubwa katika sekta ya kilimo na ufugaji. Kwa matumizi bora ya rasilimali hizi, wakulima na wafugaji wanaweza kuongeza uzalishaji na kuboresha kipato chao. Makala hii itaangazia ufugaji wa kibiashara wa kuku, ng'ombe, nguruwe, na mbuzi, pamoja na kilimo cha mazao...
  15. H

    Vitu muhimu vya kuzingatia kwa unayetaka kufanya kilimo biashara

    Vifuatavyo ni vitu vya kuzingatia Kwa mtu yeyote anae taka kulima kilimo biashara. 1. Una ardhi yenye ukubwa na yenye rutuba nzuri 2. Upo tayari kufanya kilimo kutoka moyoni mwako yani uvunguni wa moyo? 3. Utapata wapi mbegu za muda mfupi chotara zinazo himili magonjwa na kuota Kwa asilimia...
  16. X

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kilimo biashara kitainua uchumi wa nchi na kuondoa umasikini

    UTANGULIZI Sekta ya kilimo nchini Tanzania bado imekua na changamoto kubwa ya kutokidhi mahitaji ya soko la ndani na nje mchango wake kwa pato la taifa bado ni mdogo pia. Pamoja na jitihada za Serikali kuongeza nguvu kwenye kilimo cha uhakika cha umwagiliaji ila dira ya taifa inapaswa kujikita...
  17. Blender

    Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya nchi! Yaani kivipi?

    Kitendo cha kuagiza mchele nje ya nchi siyo kitendo cha kukiacha kipite hivi hivi tu kama ni jambo la kawaida na halina maana yoyote. Jambo hili ni ishara mbaya sana na siyo dalili nzuri sana huko tuendako kama taifa. Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya...
  18. rosewilliam

    Naomba maoni juu ya kilimo biashara na teknolojia katika kilimo

    Habari zenu wakuu. Ningependa nipate maoni/busara yenu katika hili. Mimi natamani sana hapo baadaye niekeze katika kilimo biashara. Najua kila zao lina changamoto zake ila nahitaji kuelewa kutoka kwa wale ambao wana experience katika hili wanisaidie kunijulisha, ni changamoto gani ziko katika...
  19. MK254

    Ndoto ya Mtanzania aliyechinjwa na HAMAS ilikua kuanzisha kilimo biashara akirudi nyumbani

    Dogo alisomea ukulima pale Morogoro kisha akapata fursa ya kwenda kuongeza elimu na maarifa Israel, yeye ndiye mtoto wa kwanza kwenye familia yenye watoto watano, ndoto yake ilikua akirudi nyumbani afanye ukulima biashara ila magaidi ya kidini yalikua na mawazo mengine. Mashabiki wa hayo magaidi...
  20. JanguKamaJangu

    Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

    Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa masikitiko na huzuni imetangaza kifo cha Clemence Felix Mtenga, Kijana Mtanzania ambaye ni miongoni mwa Watanzania wawili ambao pamoja na raia wa Mataifa mengine walikuwa hawajulikani walipo tangu...
Back
Top Bottom