Wakuu amani iwe kwenu.
Naomba nisaidiwe kujua fursa za mazao ya bustani mkoani dodoma, yaani je uhitaji upo wa mbogamboga kama mchicha, chainizi, spinach, majani ya kunde n.k.
Naomba pia kujua maeneo gani wanakodisha mashamba ya bustani, hasa panapopatikana maji kwa wingi, bei zake, barabara...