kilimo cha cocoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sababu za kuwekeza kilimo cha cocoa Tanzania

    Cocoa hustawi katika maeneo yenye hali ya hewa ya joto kiasi na mvua nyingi au unyevu kutokana na uwepo wa chanzo kikubwa cha maji iwe mto mkubwa au ziwa au Bahari. Maeneo yanayofaa zaidi ni: Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Ruvuma, Njombe na Songwe): Maeneo haya yana udongo wenye rutuba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…