kilimo cha kisasa

  1. The Watchman

    RC Macha: Hekali moja ya pamba mkulima anapata kilo 250 hadi 300, lakini sasa hivi nahamasisha walime kisasa ili wapate kilo 1,200 kwa hekali

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha, ameendelea na jitihada za kuhamasisha wakulima kulima kilimo cha kisasa cha pamba ili kuongeza mavuno na kuinua uchumi wa wakulima na taifa kwa ujumla. Akiwa shambani leo Februari 19, 2025, katika wilaya ya Shinyanga, RC Macha alisema kuwa ziara yake...
  2. nk 47

    INAUZWA Mashine za kupukuchua mahindi zinauzwa

    Acha kulanguliwa Mashine za kupukuchua mahindi kama unavyoiona kwenye video inapatikana kwa bei nafuu zaidi Piga no 0716 508073 Tupo Arusha Unga Ltd mtaa wa viwanda Bei niTsh850,000/= Inapukuchua na kupepeta gunia 25-30 kwa saa Kwa siku inapukuchua na kupepeta gunia 300 Ina feni la kupepeta...
  3. D

    Mbolea gani inafaa kwa ajili ya kupandia kahawa/mibuni.

    Nahitaji kupanda miche ya kahawa/buni. Naomba kufahamu mbolea za kiwandani zinayotumika kwa upandaji. Naomba pia kufahamu kipimo kinachofaa kwa kupandia kwa kila mche/shimo moja. Soma Pia: Nimepanda kwa kutumia mbolea isiyofaa, hatua gani nichukue?
  4. B

    WMA yawapongeza Wakulima Karatu kuzingatia matumizi ya vipimo sahihi

    Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi kutoka Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), Albogast Kajungu, amefanya ziara ya kushtukiza katika mashamba ya wakulima mbalimbali eneo la Mang’ola wilayani Karatu, Mkoa wa Arusha na kuridhishwa na namna wakulima hao wanavyozingatia matumizi ya vipimo sahihi...
  5. Prakatatumba abaabaabaa

    Kwa mtaji wa milioni 3 naweza kuingia shambani nikalima kisasa?

    Huu ulimwengu, game ni tight sana hasa upande wa kutafuta pesa, kuna saving zangu kama million 3 nimeamua kurisk shambani sina matarajio makubwa lakini najua itakua ni sehemu ya kujifunza. Hii mada inahusu wazoefu tu, nipo kasulu nafikiria kulima maharage na mahindi kwa msimu unaokuja...
  6. Humble beginnings

    SoC04 Tanzania mpya: Nchi yenye Kilimo cha Kisasa chenye Tija kinachovutia Ushiriki Wa Vijana

    Utangulizi Kilimo ni sekta muhimu sana katika uchumi wa Tanzania. Sekta hii huchangia takribani 27.6% ya pato la Taifa (GDP) la Tanzania, ikithibitisha umuhimu wake mkubwa kiuchumi (Benki ya Dunia, 2020). Kilimo pia huajiri takribani 65% ya nguvu kazi ya nchi, hasa katika maeneo ya vijijini...
  7. MUWHWELA

    Wazungu kwa mataifa Yao yote, hawana UPENDO na MTU mweusi

    Twime tubite 'Hakuna mfano nyuma mfano ,nyuma ya mfano Kuna Imani. -------- Historia inaenda kujirudia Tena, wachache watakaosalia ni wale ambao hawajali sana watu wanawaonaje au wanawachukuliaje, wanaoishi maisha Yao kwa kufuata sheria za Asili. Wazungu kwa mataifa Yao yote,hawana UPENDO na...
  8. L

    Kuwa na kilimo cha kisasa ni lengo la pamoja la China na nchi za Afrika

    Mkutano Mkuu wa Kazi Vijijini wa China ulifanyika wiki hii mjini Beijing. Katika miaka ya hivi karibuni, imekuwa desturi kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC kuitisha mkutano kama huo baada ya mkutano mkuu wa kazi za kiuchumi kila mwezi Desemba ili kupanga kazi kuhusu kilimo, vijiji na...
  9. MK254

    Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

    Tal Chaimi, mkazi wa Kibbutz Nir Yitzhak, na Joshua Luito Mollel, mkazi wa Kibbutz Nahal Oz , waliuawa wakati wakishikiliwa mateka na Hamas katika Ukanda wa Gaza. Miili yao yote miwili bado inashikiliwa na Hamas. Chaimi aliaminika kutekwa nyara lakini, ushahidi mpya ulionyesha aliuawa Oktoba 7...
  10. T

    SoC03 Sido iwe kichochezi katika kilimo cha kisasa hapa nchini

    Mapinduzi ya viwanda yalileta mwamko mkubwa sana katika mataifa ya magharibi katika uzalishaji mali na kuudondosha mfumo wa “utumwa” baada ya kutengeneza zana bora za kiutendaji ambazo zilianza kufanya kazi zilizokuwa zikifanywa na watumwa pamoja na wanyama na zikaja kuwapiku kwa kuongeza...
  11. Asheryelly

    INAUZWA Viriba vinauzwa

    Kwa mahitaji ya polythene tube(Viriba) vya size kuanzia Inch 2.5 hadi Inch 15 vya Gauge(G) zote zinazohitajika kwa uotesheaji wa miti ya matunda, mbao, maua N.k kwa Tsh 4000/= tu kwa KILO 1 Karibu sana. Piga, 0787009807.
  12. H

    SoC02 Mkakati wa kutoka katika kilimo cha asili kwenda kilimo Cha kisasa Cha umwagiliaji

    Kwanza natoa shukurani zangu nyingi sana kwa kupata nafursa ya kutoa mawazo yangu kuhusu kilimo Tanzania. Wakulima wamelima kwa muda mrefu sana kwa lengo la kuuza mazao yao na kupata chakula na ziada kidogo ya mazao inayopatikana huuzwa kwa kupata fedha za matumizi ya kilasiku. Uhalisia ni...
  13. Kaka Ibrah

    SoC02 Fahari ya jamii ni kilimo cha kisasa

    Kilimo ni kitendo cha kupanda ama kuotesha mbegu ya zao husika na kuvuna mazao kwa wakati muafaka. Kitendo hiki huambatana na jukumu la kuulea mmea katika kipindi chote cha kukua kwake hadi pale utakapo toa mazao na kukomaa. Ukiachilia mbali nguvu ya teknolojia, viwanda, biashara na ajira...
  14. Bahati mahimbo

    SoC02 Maskati, tuimarishe uchumi wetu kwa kilimo cha kisasa

    Maskati ni Kata inayopatikana upande wa Kaskazini Mashariki Mwa Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro. Wakazi wa Kata hii kwa kiasi kikubwa huishi kwa kutegemea shughuli za Kilimo hasahasa kilimo Cha Mahindi na Maharage. Mazao mengine kama vile Ndizi, Mihogo, Kahawa, viazi, Njegere,nk. ingawa...
  15. O

    SoC02 Kilimo chenye Tija

    Awali ya yote nipende kuwashukuru waanzilishi na wasimamizi wa jamii forum, kwa mchango wao mkubwa wnaotoa na kusaidia jamii katika kuhakikisha na kuleta mabadiliko katika kila sekta. Ningependa kutoa maoni yangu katika kuelezea Ni jinsi gani tunaweza kutumia kilimo katika kuleta tija kwenye...
  16. I

    Wakulima wa Tanzania wawezeshwe vipi kununua matrekta kwa ajili ya kilimo cha kisasa?

    Wakuu, siku hizi naona kuna makampuni mengi Tanzania yanajitangaza kuuza matrekta. Je sisi wakulima wadogo tutanunuaje hayo matrekta ili kufanya kilimo cha kisasa wakati mtaji wetu ni mdogo. NB: Trekta ndogo ni takribani Milioni 20 za kitanzania kwa nilivyoulizia.
  17. Bwana Mpanzi

    Ulizia chochote kuhusu Upatikanaji wa miche ya Matunda, viungo na tiba

    Habari za jioni wanajamvi, Kumekuwa na woga au maswali kwa wadau wengi yanayowapa ukakasi kuwekeza katika sekta ya kilimo hasa kutokana na wimbi la upatu au kilimo ambacho hakieleweki uelekeo wake. Kwangu unaweza kuuliza kuhusu miche, wapi inaweza kufanya vizuri kwanini isifanye, namna ya...
  18. Nchiyanguu

    Ng’ombe wa maziwa anauzwa

    Ninauza ng’ombe wa maziwa ni mitamba wenye mimba kubwa wawili, wapo chanika, Dar es salaam. Bei: 2,700,000 ( wote wawili) Contact: wasap/call/sms; 0713908963
  19. skilled masala

    SoC01 Maadhimisho ya Sherehe za Nane Nane yatatue tatizo la Ajira kwa Vijana wa Vyuo Vikuu Nchini

    Masala sayi 08, August 2021 Chuo Kikuu cha Iringa. Kila ifikapo tarehe 08, August ya kila mwaka Tanzania huadhimisha sikukuu ya wakulima ambapo lengo kuu la sikukuu hiyo ni kuangalia mafanikio ya wakulima, wafugaji na wavuvi kwa mwaka husika, hivyo serikali kupitia wizara ya kilimo huandaa...
  20. Lasway.Jr

    Je, ni zipi changamoto zinazowakumba wakulima wa Greenhouse? Eleza changamoto yako hapa upate suluhisho

    Kwa muda mrefu tumekuwa tukishughudia wakulima wengi wa greenhouse wakipata hasara au kutokupata mavuno bora kama walivyotegemea, kuendelea kutumia madawa ya kuuwa wadudu kwa kiasi kikubwa kama wanalima nje, joto kuwa kali ndani ya banda na kuharibu mazao, yaani wengi wamekata tamaa na...
Back
Top Bottom