Kama hekta moja ni 16mil na points kadhaa hivi ,budget hiyo iko sahihi na wamejitahidi Sana kuibana . Mfano tu; kwa kilimo cha kitaalam cha green house ,green house ya robo ekari yaani ukubwa wa mita 35 kwa 35, budget yake ni mil 4 hiv na vichenji, Nina jamaa zangu kadhaa walianzisha kilimo hiki...