Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa aina nzuri ya mbegu ya maharage soya ya njano, nmeambiwa zipo aina zaidi ya moja itapendeza mkiweka na bei yake.
Mbegu ambayo inafanya vizuri shambani na sokoni. Natanguliza shukrani.
Wakuu nawasalimu,
Heri ya sikukukuu ya Pasaka. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada nataka kuanza kilimo cha maharage na target yangu ni kupata gunia zisizopungua 100, naomba kusaidiwa ni hekali ngapi zitanifikisha katika hyo target?
Palizi yake ni mara ngap, mavuno ni baada ya...
Habari wakulima na wafugaji wenzangu, Mimi ni mkulima wa Machungwa na Mahindi Muheza Tanga ila msimu huu nataka kujaribu kilimo cha Maharage, nimeandaa eneo la eka 2 ila eneo lina michungwa mikubwa ambayo Tayari inazaa, je, naweza kuchanganya michungwa na Maharage? Je, kivuli cha michungwa...
Ndugu wasomaji, natamani na nahitaji niingie kwenye kilimo Cha maharage, nipo Njombe, ni Aina ipi inafaa saana hasa yenye Bei nzuri na mavuno mazuri niitumie?
Niko wilaya ya kwimba napenda kujua kama maharage yanaweza kusitawi vizuri kwenye udongo mweusi (mfinyanzi) maana ninaeneo la aina hiyo na liko karibu na chanzo Cha maji.
Naomba ushauri wako.
Maharage ni zao jamii ya mikunde ambalo hulimwa kwa ajili ya kuliwa kama mboga au futari linaweza kama maharage mabichi au maharage makavu. Pia majani yake mni chakula cha mifugo na yanatumika pia kama mboga kwa binadamu. Katika ekari moja unaweza kupata Kg 600 hadi 1200 za maharage.
Maharage...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.