Mdau wa Mtandao wa X zamani Twitter, kwa jina Swed Junior, aliibua swali la kuvutia kwenye mtandao: "Kwa nini watu wanawekaga mawe juu ya matikiti wakiwa shambani?" Swali hili lilivuta hisia na hamasa za wengi, likiwaacha watu wakijiuliza kuhusu siri iliyopo nyuma ya mazoea haya ya wakulima...