Kuna kilio cha wananchi ambao wamelima miwa yao na wameshindwa pa kuuza kwa sababu viwanda navyo vina sukari na wameshindwa wamuuzie nani.
Serikali tumeiweka sisi wananchi madarakani ili ituongoze na kutuletea maendeleo. Sasa nini kauli ya Serikali kuhusu Wakulima ambao wana miwa yao na...
Waziri Dkt. Kijaji: Ongezeni Kilimo cha Miwa kwa Wingi
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewasihi wananchi na wakulima wa miwa wa Kata ya Magugu Wilaya ya Babati Mkoani Manyara kuongeza kilimo cha miwa kwa wingi ili kuweza kulisha kiwanda cha Sukari cha Manyara .
Dkt...
Ndugu zangu, poleni na majukumu ya kikazi, nimepatwa na wazo la kulima miwa pale Kilosa kwa ajili ya kuuzia kiwanda cha Mkulazi kwa ajili ya kutengeneza sukari.
Nimepata shamba la heka sitini ambalo nina mpango wa kulinunua, nakuja kwenu kujua kama kuna mtu aliyewahi kulima au kusikia juu ya...
Habari Wakuu,
Mimi ni mkulima wa Miwa katika bonde la Kilombero, katika bonde hili huwa tunalima Miwa na kuuza kwa kampuni ya sukari Kilombero. Kwetu huku hili ni zao kuu la kibiashara Kama ilivyo korosho Mtwara.
Sasa Basi nimekuja hapa kueleza changamoto tuzipatazo sisi wakulima hivyo kuweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.