kilimo cha mpunga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wiliaya gani Mwanza naweza kulima mpunga?

    Wakuu nipeni ushauri. Wilaya gani mkoa wa Mwanza inatoa mpunga wa uhakika na maeneo mazuri kwa ajili ya kilimo cha mpunga. Soma pia: 60% ya mazao ya Afrika ni Ngano, Mahindi na Mpunga, japo kuna mazao mengi yanayoweza kustawi Afrika na kuondoa magonjwa ya lishe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…