Wapendwa Habari zenu
Poleni na majukumu ya kulijenga Taifa.
Lengo la huu uzi ningeomba kwa wale waliowai kulima nyanya Mkoani Mbeya tupeane ushauri msimu gani wa kulima na vitu gani vya kuzingatia ili tumsaidie mtu mwenye nia ya kulima nyanya
Na pia tujuzane kuhusu masoko, pembejeo na Gharama...
JF wasaalam 🙏
Kama unataka mali utaipata shambani.
Nianze kuwaomba vijana na sio kuwashauri maana kama kushauriwa mmeshauriwa sana hadi basi lakini hambadiliki.
Mimi nami ni kijana mwenye miaka 30+ hivi hiki nachokisema ni kweli na nimekifanya mwenyewe.
Uzi utakuwa mrefu kidogo vumilia...
Wakuu niko babati nahitaji kuanzisha shamba langu la nyanya .
Naomba kujua mbegu gani bora kwa kilimo cha biashara.
Pia vitu gani vya msingi natakiwa kuvizingatia.
Habari wadau, nimepanga kulima nyanya mwaka huu, nataka nitakazouza muda wa kuanzia mwezi wa 11 mpaka muda huu naomba mnishauri kwa yafuatayo;
1. Nianze kufulia mbegu lini
2. Nianze kulima lini?
3. Nilime mbegu gani,
4. Niandae mbolea zipi na zipi kwa mpangilio upi na upi
5. Nataka kulima nusu...
Wana JF habari za uzima, natamani nifanye kilimo cha nyanya ifikapo masika, ila bado kuna mambo nashindwa kuyaelewa vizuri.
1-Nyanya inaitaji joto la wastani, lakini mimi nipo Pwani maeneo ya Mkuranga muda huu joto linasoma 27° . Sijui kama mmea utastawi vizuri au kama kuna mtu analima maeneo...
"Niko shambani nalima.Tunamshukuru Mama (Mhe. Rais) na serikali ya CCM kuipa msukumo sekta ya kilimo. Mbolea ya ruzuku na mazingira rafiki ya kilimo vimetupa nguvu zaidi ya kupambana. Kazi inaendelea."__ Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Mara Ally Hapi
Kilimo cha nyanya nchi Tanzania kimekuwa kigumu kutokamna na mambo mengi: uhaba wa mbolea ukiwa kinara. Katika msimu uliopita mfuko wa mbolea kg50 uligharimu takribani USD 20, kwa sasa mfuko mmoja unagjarimu zaidi ya laki moja.
Je, mkulima atapata faida?. Wakati Bwana Lossim Lazzaro...
Narudia tena kilimo cha nyanya msimu mwingine wa masika baada ya kumalizana na kiangazi.
Msimu uliopita nilipanda miche 1000 tu kama sehemu ya kujifunza kwa vitendo.
Matokeo yalikua sio mazuri sana kutokana na makosa ya kitaalamu lakini nimejifunza mengi sana kwenye kilimo cha nyanya.
Msimu...
Wakuu kwema nimejaribu kufanya kilimo cha nyanya kwa hii season mkoa wa Kilimanjaro nyanda za juu kimsingi huku wengi sio wakulima wa nyanya kama ilivyo kwa ukanda wa kusini wa Kilimanjaro.
Nimejaribu kupanda quater acre ya F1 aina ya VICTORY f1 na Jarrah F1, nusu nusu acre ntapanda mbegu ya...
Mnamo mwezi wa 12/2018 na Januari 2019 niliingia kwenye kilimo cha Nyanya. Nikiri kua nilikua sina maarifa wala uzoefu wowote kweny kilimo cha nyanya. Kuna rafiki yangu mmoja ndo alinishauri na kunishawishi kuingia kwenye kilimo cha nyanya(alinichukua na kunitembeza kweny mashamba ya nyanya na...
Habari za weekend wanajamvi.
Wakuu naombeni ushauri wa mbegu bora ya nyanya ya kisasa inayostahimili wakati wa masika na bei yake. Naomba kuzijua mbegu zinazozaa vizuri wakati huo na zinazovumilia magonjwa.
Natumaini kuwa nitasaidiwa.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga.
Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje.
Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji.
Nauza TSH 1,000,000 Kwa Heka 1...
Utangulizi:
Nyanya ni zao la mboga ambalo hulimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama zao la biashara. Inahisiwa kuwa asili ya nyanya ni nchi ya Peru/Equador huko Amerika ya Kusini. Mmea huu ulianza kuzalishwa kama zao katika nchi ya Mexico na baadaye kusambaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.