Wakuu habari za weekend,
Samahani kwa nitakae mkwaza namna yoyote ile. Wakubwa kama mnavyoja dunia ya sasa yataka kupambana kweli kweli. Sasa mwenzenu nimechoka na haka kamshahara ka laki na nusu huku nikiwa na mtoto, wazazi wanaotegema chochote kutoka kwangu. Sasa nataka kujikita kwenye kilimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.