kilimo cha vitunguu

  1. Mindyou

    Nicole Joy Berry mrembo aliyejulikana kwa kilimo cha vitunguu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za utapeli

    Wakuu, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata Joyce Mbaga maarufu kwa jina la Nicole Joyberry kwa tuhuma za kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu na kufanya biashara ya kuanzisha ma-group na kukusanya pesa kinyume na sheria. Soma pia: Nicole Berry, mwanadada anayepiga...
  2. A

    Tulime vitunguu maji vya masika, vinalipa sana

    Kulima vitunguu maji wakati wa masika kunahitaji kuzingatia hali ya unyevunyevu na udhibiti wa magonjwa kutokana na mvua nyingi. Hapa kuna mwongozo wa hatua kwa hatua: 1. Uchaguzi wa eneo Ardhi: Chagua eneo lenye udongo wa kichanga, usio na maji mengi, wenye rutuba na unaopitisha maji kwa...
  3. A

    Kilimo cha vitunguu kilivyonitia hasara

    Kama habari inavyoeleza hapo juu, Mimi ni mkulima mzuri wa nyanya, nimelima zao hili kwa zaidi ya miaka kadhaa kutokana na changamoto za hapa na pale zilinifanya kuwa mzoefu na mtaalamu sana wa kilimo hiki, hivyo ilikuwa nikiweka mbegu shambani. Ililazimu jirani angalie nitaivisha wakati gani...
  4. P

    Wilaya gani katika mkoa wa Ruvuma ni rafiki kwa kilimo cha vitunguu?

    Jamaani mashamba yanayoweza kuwa rafiki kwa kilimo Cha vitunguu mkoa wa ruvuma yapo wilaya gani?
  5. N

    Kilimo cha vitunguu maji

    Wadau kama kichwa cha topic kinavyosema, shauku kubwa la mim kuja hapa ni kutaka kupeana uzoefu wa kilimo cha vitunguu maji kw misimu ya hiv karbun kutokana na nyuz zlzomo jukwaani kuwa za miaka mingi iliyopta mfn 2010! Mambo yamebadlika Sana kipind kile unakuta mtu anazungumzia kuuza gunia kwa...
  6. M

    Natafuta mdau wa kushirikiana kilimo cha vitunguu

    Hbr kwenu wadau. Kama heading inavyosomeka hapo juu m ni mkulima nipo Dar ila mwaka huu Kuna changamoto nimepitia kiasi cha kupoteza mtaji wa kilimo. Sasa natafuta mtu mwenye mtaji tushirikiane kwenye kilimo cha vitunguu. Nitakuwa tayari kwa mashart yeyote utakayotaka. Asanteni
  7. Red Giant

    Kumbe kitunguu saumu kinalipa hivi

    Nasikia gunia la kitunguu saumu la debe tano linauzwa 500,000. Hiki kitunguu hakina mbegu hivyo unapanda vile vipande vyake. Wanasema ekari moja inaweza kupanda gunia 16 hadi 28 za kilo mia kutegemeana na spacing. Hivyo utapanda vya Tsh 8m - 14m. Kinaweza kuzaa mara 5 hadi 8 ya gunia...
  8. Erick_Otieno

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Wakuu salamu, Nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji cha kitunguu. Naomba ushauri wenu ni maeneo gani yanayoofaa kwa kilimo cha kitunguu na hasa ambayo yanaweza kuwa na maji kwa ajili ya umwagiliaji. Nimenunua power tiller ambayo nategemea itanisaidia sana kwenye kilimo cha umwagiliaji...
Back
Top Bottom