Tanzania ni moja ya nchi zenye kilimo kikubwa barani Afrika na inachukuwa kama nguzo moja wapo ya uchumi wa nchi.Takribani asilimia 75 ya Watanzania wanajishughulisha na kilimo kinachotegemea mvua.Mazao yanayo limwa nchini ni pamoja na mahindi,mpunga,maharage,nyanya,viazi,mboga mboga matunda...